Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa nini wapokee barua wakati sheria inataka zipelekwe fomu?Umesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.
CHADEMA wateue mbunge viti maalum akatolewe gerezani na kufutiwa kesi usiku wa manane tena anashitakiwa na jamhuri? fikiri upya mzee
Angalia mchezo mpk wa kufutiwa kesi usiku wa ma8, ni utapeli mtupuTuvute subira ndugu yangu. Japo napata ukakasi kwanini NEC hawajaweka hadharani barua ya CDM?
Vyovyote vile, siasa ni zaidi ya ukahaba. Pia masikini hana kiapo.
Kama wanachama wenu wana weza kugushiwa sahihi na wakakubali basi hakuna chama hapo.Wafungue kesi kwa mahakama ipi ambayo itatenda haki? hivi CHADEMA wateue mbunge wa viti maalum akatolewe gerezani usiku wa manane kuja kuapisha tena anashitakiwa na jamhuri?
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Baki huko huko kwenye chama sahihiKama wanachama wenu wana weza kugushiwa sahihi na wakakubali basi hakuna chama hapo.
Nilishasema siasa ni zaidi ya ukahaba.
Usimwamini mwanasiasa yeyote.
Basi hamna viongozi wenye msimamo kama hata mtu akiwaita njoo wana kwenda basi mjue hamna chama hapo.Hiyo kesi wanafungulia mahakama ya nchi gani?
Kwani CDM ina Makatibu Wakuu wangapi mkuu? Pia kumbuka Katibu Mkuu ni Ofisi siyo jina la mtu. Kuna ma signatories wanaoruhusiwa kusaini kwa niaba ya Katibu Mkuu labda ilisainiwa na Kiongozi mwingine wa CDM ambaye anayo mandate ya kusaini hiyo barua.Mbona hamtaji Kwa majina huyo karibu mkuu wa CDM .... Weka hadharani hiyo barua ya katibu mkuu
Na kwanini tumuamini huyo mahera yeye ni malaika??Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Angeambatanisha na barua ya majina iliotoka cdm kuthibitishaNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Hiyo ilikuwa before 19th novHukumbuki kuwa tume ilikataa kuwa hawajapokea majina kutoka cdm?
Hahahaha ngoja nicheke. Maana chadema ilisha kufa imeacha wapenzi wake wana tapa tapa hukuBaki huko huko kwenye chama sahihi
Barua ikiambatanishwa na fomu mkuu.Kwa nini wapokee barua wakati sheria inataka zipelekwe fomu?
Unaelewa kuwa sheria inakataza kupeleka NEC jina la viti maalum ambae yupo mahabusu tena kwa kesi ambayo haina dhamana?Kwa nini NEC wapokee jina la mtu ambae yupo mahabusu kwa kesi ambayo haina dhamana?Kwenye saga lote hili aliyechafuka ni Chadema! NEC hajachafuka kiasi cha kuhangaika kujisafisha!