Wafia vyama. Esther Matiko mke wa Mwalimu yule mgombea mwenza. Eti kaenda bungeni bila mmewe kujua. Mbowe wote hao wanajua sana na wapo Ok.Inasikitisha sana watu wasomi kabisa lakini ajabu wanabuluzwa hovyo na wana siasa kiasi hiki!!
Mahakama ipi iliyo huru?Myika afungue kesi ya madai ya kugushi sahihi yake
Nacheka Sana jinsi wee jamaa unavyobebwa hovyo na wanasiasa aisee inasikitisha sana.
Shituka mkuu huku tuendako siko maigizo yamezidi hapo kaka.
Aliwapongeza wapi na lini?Au mnazungumzia hizo tweet zenu za kutengeneza?Kwanini mwenyekiti wa kamati kuu Freeman Mbowe aliwapongeza akina Mdee kwa kuteuliwa na kuwataka wakale kiapo bungeni?
Pole SanaEti Mnyika apele jina la mahabusu ambaye hajulikani atatoka lini, huu upuuzi labda wadanganyane huko Lumumba tu
Huu ni mwanzo tu.
Ni kweli cdm inawezakuwa walifanyiwa rafu kwenye uchaguzi, lakini wanavyoshughulika na hili la viti maalum na nikirejea na 2015, napata ukakasi.
Huelewi Nini Kama wamegushi mbona walioteuliwa wote walikubali uteuzi?Wamegushi sahihi yake hawa wapuuzi kutafuta namna ya kujisafisha
Hata kama umenyofolewa ubongo basi hata kupapasa huwezi ? hivi Unajua kwamba Nusrat alitolewa gerezani tarehe 23 usiku na Mdee akishirikiana na mfumo ? ni wapi katibu mkuu wa Chadema alimsainisha fomu Nusrat aliyewekwa selo tangu july 2020 ? halafu hata kama kichwani umewekwa udongo tangu lini ccm na Ndugai wakawa watetezi wa wabunge wa Chadema ?Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Hai pingapinga Fc watapinga tuu.Haya sasa wanasaccos mnasemaje??
Ungeweza usingekuwa hivyo kaka, huo ndio ukweli japo naamini huto ukubali.Nimecheka kwa nguvu, eti ninabebwa na wanasiasa. Hivi unadhani siwezi kuangalia na kupima uhalisia?
Chama kimekufa halafu CCM wanahangaika wabunge wa chama mfu waende bungeni!!??Hahahaha ngoja nicheke. Maana chadema ilisha kufa imeacha wapenzi wake wana tapa tapa huku
Ili kuondoa mashaka tume wangeweka wazi barua ya katibu mkuu wa chadema iliyotuma majina.NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Ni mjinga pekee anae waza mahakama wakati mtoa hela ni mmoja tuHakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.
CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Wamegushi sahihi yake hawa wapuuzi kutafuta namna ya kujisafisha
Walioenda kuapa hukuwaona? Unafikiri walienda bila barua toka kwa mnyika?Hayo majina yako wapi? Duh hii tume ni shida..
Tanzania bwana!Mbona NEC walikataa kupokea majina toka Chadema!