NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

Chama cha Mbowe, lengo lake ni kufitinisha watanzania na serikali yao. Hiyo taharuki wanayoipanda kwa watanzania itawatafuna wao kwanza.
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe, wamekoselewa wakapagawa mpaka wanajibu hovyo.
 
Kwann zisiprinitiwe nje, isije kuwa za kufutika futika baada ya kutik
 
ZEC nao wafafanue kuhusu kura za mapema za wafanyakazi Zanzibar. Mawakala wataruhusiwa kulala na maboksi ya kura na zitahesabiwa tofauti na kura nyingine?
 
kwenye hili hujui kitu , jiulize kisa cha kusubiri wiki nzima kujibu tuhuma hii
 
Bado sijakubaliana na huo utetetezi wa Nec inakuwaje vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi vipelekewe barua na kusiwe na chama kilichowasilisha wawakilishi wao na wao wasifanye forapu yakujua nini tatizo waanze vikao wenyewe hapo tatizo lipo Nec kwanini waone kufanya vikao wenyewe ni sawa tu bila wadau? Hao wameshachemsha tena Kuna mengi yakifatiliwa inaonyesha wanajifanyia tu bila kufata taratibu.
 
kwenye hili hujui kitu , jiulize kisa cha kusubiri wiki nzima kujibu tuhuma hii
Wewe unayejua twambie kuna uhusiano gani kati ya Jamana na hii tenda.

Na mwisho wa kujibu tuhuma huwa ni siku ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…