Uchaguzi 2020 NEC yakabidhi nakala ya daftari la kudumu la wapiga kura kwa vyama vya siasa

Uchaguzi 2020 NEC yakabidhi nakala ya daftari la kudumu la wapiga kura kwa vyama vya siasa

Yule mgombea mzushi, mpotoshaji, mwenye kiburi na kufanya kusudi, aliyeahidi kuingiza wananchi barabarani, kutoka kwenye kile chama kisicho na ofisi ya kujenga wao wenyewe akijidhihirishia yupo kwenye karatasi ya kura basi nchi ijiandee kwa vituko vyake
Kuna yule mbaguzi, katili, sura mbaya, roho mbaya na jeuri
 
Ajabu sana mwaka huu, sasa itakuwaje mtu akinyolewa na wembe bila sabuni kwenye kisaduku, maana upepo huu siusomi mafuriko kila mtaaa
Kuna mafuriko zaidi ga haya? Nioneshe yametokea wapi?
20200814_164053.jpg
 
Ccm ni chama makini sana! Sijui chadema watasingizia nini tena maana magoli ndio kama hayo yanawekwa wazi kila mtu na kipa wake.
 
We just only want smooth transition of power from Magufuli to Braza Lissu after the election. No blah blah after that or else we will enter into the forest to restore back our sovereignty.
Mbona hukuingia forest huyo mgombea wako alivyofungiwa kufanya kampeni. Yaani vijinaume.vya Chadema vina mikwara mbuzzi
 
Pongezi nyingi kwa tume,

Tunaimani kuwa mpo katika kusimamia haki na kazi zenu nzuri ndio zitakazotuletea viongozi bora wa Taifa letu.

Mungu atubariki sote tuwe na uchaguzi wa amani na wenye tija kwa Taifa letu.
Sema "Nina Imani" siyo "Tuna imani" ni wewe unaeiwakilisha nafsi yako siyo wote
 
Kwa akili yako unaamini Lisu ana kura za kumtingisha Magu?

Hilo daftari lenyewe limejaa wana ccm tupu maana nyie mlihamasishana msiende kuboresha taarifa zenu
Acha ujinga wewe kenge wa kijani, kuboresha daftari maana yake ni kwenda kuhakiki kama jina lipo au la, toa kamasi kwenye kichwa chako haraka kabla hujaanza kuokota visoda!
 
Acha ujinga wewe kenge wa kijani, kuboresha daftari maana yake ni kwenda kuhakiki kama jina lipo au la, toa kamasi kwenye kichwa chako haraka kabla hujaanza kuokota visoda!
Oneni haka kajinga jamani!

Nec ilipotoa ratiba ya wanachi kwenda kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura hivi ilikuwa ni kwenda kuchungulia kama jina lako lipo?

Alafu unajifanya una akili sana kumbe ujinga tu umekujaa.

Mlihamasishana humu kwamba humuwezi kwenda kupoteza muda wenu. Wana ccm wakahamasishana kwenda kuboresha taarifa zao na ndio hao wamejaa kwenye hilo daftari, sasa nyie mnashangilia Lisu anashinda. Anashinda kwa kupigiwa kura na mawe?
 
Waendelee hivyo hivyo na kwenye upigaji kura waziheshimu kura za wananchi na kutoa matokeo sahihi, aliyeshinda kwa haki atangazwe na si vinginevyo. Watambue dhamana waliyonayo kwa amani ya nchi hii ni kubwa sana.
 
Hili daftari watakao soma kwa makini ni Chadema na ACT, wengine watapewa na kufungia kabatini
Wapiga kura waliojaa humo ni wana ccm maana nyie mlifikia hatua ya kumtukana Mbowe aliposema nendeni mkaboreshe taarifa zenu kwenye hilo daftari.
 
Waendelee hivyo hivyo na kwenye upigaji kura waziheshimu kura za wananchi na kutoa matokeo sahihi, aliyeshinda kwa haki atangazwe na si vinginevyo. Watambue dhamana waliyonayo kwa amani ya nchi hii ni kubwa sana.
Mimi nashindwa kuelewa huu ujinga uliowajaa chadema kwamba mshindi halali anapaswa kuwa Lisu,
Hivi mnatumia vigezo vipi?
 
Back
Top Bottom