Royal Tour
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 252
- 459
Inabidi sehemu zigine waige Musoma!!#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
[emoji23][emoji23][emoji23] .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Wameongeza muda wa kuapisha hahah#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Chanzo cha habari tupatie tafadhaliTume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo
Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Kitaeleweka tu mwaka huu, tunamchagua Lissu kuwa Rais wetu.Wameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rungwe Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Mawakala tu siku 3, je kura si hata wiki nzimaa?Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo
Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
[emoji23][emoji23][emoji23] .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Katika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
Afadhali kidumu changu cha Petroli nawagaiya Bodaboda