Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😃🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🏌️🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
 
usije kusema hukuambiwa.

Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru

Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
 
Tunawajua tabia zao hua anafanya mambo kwa kutegeshea akiona mmekaa kimya basi ndio inapita hivyo ila wakiona pressure imekua kubwa ndio hvyo wanakuja kibadili mambo
 
Kwa hiyo mnaona ilivyokaa sasa iko sawa ee
 
Kweli kuna aja ya kuwa na serkali za Majimbo maana nyie watu wa uko juu ya Tanzania mna matatizo kama ya wale jirani zenu.
 
Wameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rukwa Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
SASA UNACHEKA NINI?? JITATHMINI WE MZEE
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo

Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Hivi hao wanao kutana na mgurugenzi wa hiyo tume wanashindwa kumwambia tunataka kura zihesabiwe uwanjani kweupe peee!
 
I am proud to be a Musomaian. Bila hivyo uchaguzi huu, mambo hayaendi. Na bado 28 Oct hao walioapishwa utasikia wamekanwa kwenye vituo vya kura kuwa siwajui...
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
 
Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru
Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
Ukiwa mstaarabu tegemea kuchukuliwa katika Hali ya ustaarabu,Ila ukiwa si mstaarabu usitegemee kuupata ustaarabu toka kwa wengine,Maana yake Nini,pale yanapojengeka mashaka yafaa ,kurekebisha Hali hiyo ili kuwepo na half ya kuaminiana.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo

Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Huyu mahera ni mpumbavu asiyestahili kuitwa Dr. Hata juha anafahamu kuwa siku moja haitoshi kuwaapisha mawakala wote. Yeye daktari hakujua hilo? Isitoshe, Tume chini yake imeamua mawakala waapishwe wilayani siyo kwenye kata kama miaka iliyopita. Sasa Bwana daktari mpumbavu hakujua wingi wa mawakala na kwamba siku moja haitoshi? Alifikiri uchaguzi huu ni wa kitoto kama udaktari wake? Hivyo Magufuli aliwapata wapi watu aina ya mahera na kuwapa kazi kubwa hii?
 
Back
Top Bottom