chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Rukwa -Sumbawanga, sio Rungwe ni mbeyaWameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rungwe Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rukwa -Sumbawanga, sio Rungwe ni mbeyaWameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rungwe Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Serikali inahusikaje wakati hayo ni mambo ya tume?Mmmmh sirikali hii inapenda hangaisha wananchi kweli kweli
Umeamua kubeba majukumu ya tume na mahakama. Utaweza kweli?Mkuu sasa hivi kama wewe ni msimamizi wa uchaguzi na hutendi haki basi uwe unalala Lodge na nyumbani hamisha watoto wote.
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
usije kusema hukuambiwa.Umeamua kubeba majukumu ya tume na mahakama. Utaweza kweli?
Lengo kuibeba CCMMtu mweusi tatizo sana usumbufu wanajitafutia wenyewe. kwanini husitende haki ili kuondokana na huo usumbufu?
usije kusema hukuambiwa.
Tunawajua tabia zao hua anafanya mambo kwa kutegeshea akiona mmekaa kimya basi ndio inapita hivyo ila wakiona pressure imekua kubwa ndio hvyo wanakuja kibadili mamboTanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru
Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
Kwa hiyo mnaona ilivyokaa sasa iko sawa eeTunawajua tabia zao hua anafanya mambo kwa kutegeshea akiona mmekaa kimya basi ndio inapita hivyo ila wakiona pressure imekua kubwa ndio hvyo wanakuja kibadili mambo
At least.Kwa hiyo mnaona ilivyokaa sasa iko sawa ee
SASA UNACHEKA NINI?? JITATHMINI WE MZEEWameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rukwa Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Hivi hao wanao kutana na mgurugenzi wa hiyo tume wanashindwa kumwambia tunataka kura zihesabiwe uwanjani kweupe peee!Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo
Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Ukiwa mstaarabu tegemea kuchukuliwa katika Hali ya ustaarabu,Ila ukiwa si mstaarabu usitegemee kuupata ustaarabu toka kwa wengine,Maana yake Nini,pale yanapojengeka mashaka yafaa ,kurekebisha Hali hiyo ili kuwepo na half ya kuaminiana.Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru
Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
Nawacheka sababu hawakujua nguvu ya umma ni zaidi ya jeshi la mkoloniSASA UNACHEKA NINI?? JITATHMINI WE MZEE
[emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali, kidumu changu cha Petroli nawagaiya Bodaboda
Bora hela yangu nainywea Konyagi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
!dah mwamba ulijiandaa!!?
Naomba usikimbie jukwaa ! Lissu kamwe hawi Rais wa nchi hii kamwe kamwe
Huyu mahera ni mpumbavu asiyestahili kuitwa Dr. Hata juha anafahamu kuwa siku moja haitoshi kuwaapisha mawakala wote. Yeye daktari hakujua hilo? Isitoshe, Tume chini yake imeamua mawakala waapishwe wilayani siyo kwenye kata kama miaka iliyopita. Sasa Bwana daktari mpumbavu hakujua wingi wa mawakala na kwamba siku moja haitoshi? Alifikiri uchaguzi huu ni wa kitoto kama udaktari wake? Hivyo Magufuli aliwapata wapi watu aina ya mahera na kuwapa kazi kubwa hii?Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo