Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Kazi kwenu wana Ubungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale washamba waliokabidhiwa nchi...........na tunaona ushamba wa mtu ama kweli dunia ina mambo.Utajuaje Wakati wewe uko kwenye lile kundi la washamba waliokabidhiwa nchi?
Sawa kabisa. Wanaogopa nini? CCM wana mtaji mkubwa wa ushindi ikiwemo tume yenyewe, vyombo vya usalama, na mahakama. Mtaji pekee wa wapinzani ni wagombea wao, nguvu zao, na wapiga kura wanaowaunga mkono.warudishwe wote. Hii nchi kila mmoja atakuja juta
Hakuna mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara, mstaafu au mwanafunzi anayeweza kuipa kura ccmWatu Wana hasira kiasi kwamba wameanza kunena kuwa lugha