Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 752
- 3
Kwani Marandu hawezi kufanya kampeni ya Chama chake badala ya mgombea ubunge, mi nadhani haina haja ya kupoteza muda, angefanya kampeni ya kuwanadi madiwani, huku akimnadi Shibuda not in straigh forward way, hii itaamsha hamasa kwa wapiga kura.
Acha hasira kaka, ni kweli nimeongea na jamaa yangu yupo Maswa ni kweli kuanzia leo amesimamishwa kampeni mpaka siku ya uchaguzi, meaning hakuna kampeni bali watapiga kura tu,...inauma!