NEC yataka Tume yao ipewe meno ili iwe Huru

hizi ni dalili za kufilisika akili kijana ukiona mda ipo nje ya owezo wako achana nayo wenye uwezo wajadili nenda kafuatilie mambo yaliyo ndani ya uwezo wako
So wewe ndiye mwenye uwezo wa kujadili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzanian bhana
 
Wangeonekana Wazalendo na wapo serious, kama wangejiudhuru na kisha watoe wito wa kuunda Tume huru yenye meno zaidi. Waache porojo hapa.
 
Hawa hawataki kuwa huru zaidi ili kutenda haki zaidi bali waweze ku control process nzima. Wakifanya hivyo, wanaamini kuwa wataweza ku manipulate matokeo kisayansi zaidi. Na wapewe meno zaidi ili waweze kuwatafuna wapinzani vizuri zaidi.
Muundo waliokuwa nao hawakuwazuia kutenda haki katika chaguzi zilizopita. Ni hulka yao tu. Hawakulazimishwa kuwatoa watu bila sababu yeyote, kukataa rufaa za upinzani bila sababu yeyote, kuwapigia vifua wasimamizi ambao waliwahujumu wapinzani bila kificho n.k.
Hawa hata tume iwe huru kiasi gani, watafanya kila njia kupendelea chama chao.

Amandla..
 
Kikundi cha CCM Cha kusimamia uchaguzi kinaomba meno
 
As long wanategemea watumishi kutoka mamlaka nyingine na pia hawana bajeti yao rasmi mpaka waombe basi wamebanwa na hawapo huru!
 
Mshenzi mwili mzima, saccos ni mamako
Lete HOJA usiwe kama TOBO, akikosa hoja analeta matusi, na nyie wafuasi wake jifunzeni kuwa wastaarabu ili kuipa hadhi JF jamani! Halafu hajui tofauti ya NGO na SACCOS, basi nimefahamu leo kumbe siyo NGO ni SACCOS! Asante sana kwa elimu hii.
 
As long wanategemea watumishi kutoka mamlaka nyingine na pia hawana bajeti yao rasmi mpaka waombe basi wamebanwa na hawapo huru!
ILEJE, huo ni utaratibu tu wa utendaji, wanaweza kupewa kila kitu na kutenda kama sheria, taratibu na kanuni zinavyo elekeza. Ikiwa hivyo na mtu akipigwa kwenye BALLOT BOX bado atalalama tu. Kwani kila mtu huwa anakuja na matokeo yake, which is not right kwenye suala la ushindani!
 
Acha kukariri! Kama tume ni huru na ikafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kwa uwazi, watu watakubali matokeo.
 
Hilo pendekezo la NEC halitafanyiwa kazi.
 
Watu waliwasaidia kufungua kesi kujaribu angalau kuzuia maDED kuwa waangalizi, na wao walitia ngumu.

Tuendelee hivi hivi.... 2025 waachiwe nchi nzima wapite bila kupingwa, mafi kabisa hawa.
 
Acha kukariri! Kama tume ni huru na ikafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kwa uwazi, watu watakubali matokeo.
Kwani nani alikataa matokeo?! Wote walikubali matokeo ki - aina aina - wengine kwa kukimbia nchi, wengine kwa kujiingiza kwenye jinai za kigaidi, wengine kukubali yaishe na ku - join the band wagon na wengine kwa kuufyata tu na kukubali YAISHE! Kila mmoja ana njia yake ya kukubali matokeo, ACHA KUKARIRI Ileje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…