Kimsingi mapendekezo ya NEC yanaonyesha taasisi hiyo inavyofanya kazi katika mazingira magumu ambayo pia yanawafanya wasipate uungwaji mkono wa baadhi ya wadau pindi wanapotangaza matokeo ya kuendesha uchaguzi.
TUME YA UCHAGUZI IPO KIKATIBA HAITANGAZI MATOKEO ILI KUFURAHISHA KUNDI LA WATU "UUNGWAJI WA MKONO".
Tume inatimiza majukumu yake ya kikatiba na kwa mujibu wa sheria zilizowekwa na wananchi kupitia BUNGE