Acha uongo 2015 wapiga kura waliojiandikisha walikuwa milioni 24 sio milioni 20 .Ongezeko ni milioni 5 sasa hivi
Takwimu zako wewe ndio za uongo
Unapanic bure tu bila sababu bibie..
Hizo takwimu wala hazina uhusiano na takwimu halisi za NEC za wapiga kura wa 2015..
Nimetoa kama mfano tu ktk kufafanua hoja yangu..
Shida yako umesoma bila umakini wa kuelewa mantiki ya hoja..
Bahati njema nimezipata takwimu halisi kwamba;
1. Registered voters mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 (siyo 24,000,000 wa kwako)..
2. Waliojitokeza kupiga kura mwaka huo ni 15,589,639..
3. Ambao hawakupiga kura maana yake walikuwa 7,571,801..
4. Tukumbuke mwaka huo kulikuwa na hamasa kubwa sana ya watu kupiga kura kutokana na ujio wa Edward Lowassa upinzani..
5. Pamoja na hayo wapiga kura 7,571,801 hawakwenda vituoni kupiga kura tokana na sababu mbalimbali ikiwemo kifo, kuhama makazi nk..
6. Mwaka huu tunaambiwa wapiga kura waliojiandikisha ni 29,000,000+ ikiwa ni ongezeko la wapiga kura 5,838,560..
7. Ukichukua idadi ambao hawakupiga kura mwaka 2015 ambao ni 7,571,801 ina maana kuna uwezekano wapiga kura approximately 5,000,000 hawapaswi kuwa ktk daftari la wapiga kura kwa sababu moja kubwa ya KIFO..
8. That's means, mwaka huu tunakwenda na idadi ya waliopiga kura mwaka 2015 kama takwimu hai yaani 15,589,639 jumlisha ingizo jipya la wapiga kura 5,000,000+ na 2,500,000 ambao hawakupiga kura mwaka 2015 ambao wako hai.
Na hivyo basi, kawaida tutapata wapiga kura wasiozidi 23,089,639 tu...!!
9. Kama hamasa ya CHADEMA na Tundu Lissu itasukuma watu wengi kwenda kupiga kura, basi instarajiwa idadi ya watakaojitokeza kwenda kupiga kura haitazidi 17,000,000..!!
Huu ni uchambuzi halisi kutokana takwimu za NEC yenyewe..
Ikitokea wapiga kura 27,000,000 kati ya 29,000,000 wanaosemwa na NEC ndiyo waliojiandikisha wakajitokeza kwenda kupiga kura mwaka huu, basi hii itahitaji verification ya hali ya juu kuthibitisha hili..
Mpango mzima wa wizi uko hapa asikudanganye mtu..!
Tundu na CHADEMA na ACT Wazalendo lazima walitafutie dawa mapema hili before it's too late...