Uchaguzi 2020 NEC yataka wagombea wasiwe na matokeo mfukoni

Mnyaturu ana tiketi kabisa. Anawaachia vumbi tar 30.
Unajua Mami . Unachokikataa kwa mshindani wako , uwe wa kwanza kukipractis . Ccm na mgombea wao hawana ndoto za kushindwa hata kabla ya kura kupigwa !!. Utawalaumu vipi upande wa pili kuwa na dhana ya udanganyifu ndani ya tume ?!.
 
Minyoo ya nguruwe ilishaharibu kichwa chako. JPM ni rais wa JMT pia ni mgombea wa Ccm. Tumia akili we kenge.
Wewe mbweha acha umbumbumbu ujuha uzuzu usifikiri Bangi zako ndizo zinapiga kura, wapiga kura hawavuti Bangi ni wapenda haki na hiyo haki haipo CCM ndiyo maana kutwa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mwingi, watu wamechoka na manyanyaso yenu
 
Unajua Mami . Unachokikataa kwa mshindani wako , uwe wa kwanza kukipractis . Ccm na mgombea wao hawana ndoto za kushindwa hata kabla ya kura kupigwa !!. Utawalaumu vipi upande wa pili kuwa na dhana ya udanganyifu ndani ya tume ?!.
Hata kwa kuangalia tu jinsi Ccm ilivyofanya kazi nzuri kuna mwananchi wa kuwanyima kura?
Hilo la udanganyifu ndani ya tume ni kisingizio cha miaka mingi kwa wanaCdm.
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe
 
Tulia tar 28 utapata majibu,ila hasira usipeleke kwenye bangi na faru John.
 
Hata kwa kuangalia tu jinsi Ccm ilivyofanya kazi nzuri kuna mwananchi wa kuwanyima kura?
Hilo la udanganyifu ndani ya tume ni kisingizio cha miaka mingi kwa wanaCdm.
Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo siyo msaada wa CCM, maendeleo ni kodi za watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama, maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu Mkoloni mweusi kaburu
 
Tarehe 28 Tanzania inaenda kupata Uhuru kama mwaka 1961 toka kwa kaburu Mkoloni mweusi toka chato.
 
Hata kwa kuangalia tu jinsi Ccm ilivyofanya kazi nzuri kuna mwananchi wa kuwanyima kura?
Hilo la udanganyifu ndani ya tume ni kisingizio cha miaka mingi kwa wanaCdm.
Kazi nzuri ipi ya kuwafanya wananchi wasichague watu mbadala ?!. Je ni kuwanyima wasomi wetu ajira ? Je ni kututungia sheria mbovu ?! Kama hizi za kugawana mahekalu, au zile za kutokishtakiwa hata kama wakitenda makosa vipindi vyao vya uongozi ?!

Kazi gani hizo ?!. Ufaransa ndani ya miaka hii michache, wamebadili vyama na ma Rais wao through uchaguzi, hata kama uchumi wao na huduma ni zaidi ya mara 1000 kulinganisha na sie !! Kazi gani ya kulazimisha watu wasimtoe huyu mtu ?!
 
Hivi kwanini viongozi wa dini wakisema mgombea wa CCM anafaa watu wote wanakuwa kimya lakini wakisema mgombea wa upinzani anafaa watu wanatoka hadi ubunguni kukemea kugawa wananchi, hivi wananchi wanagawanyika viongozi wadini wanapomuunga mkono mgombea wa upinzani tu.

Na huyo Mehera asiumeume maneno atamke kwamba mawakala wa vyama vya upinzani wataapishwa na wataruhusiwa vituoni na pia watapewa nakala za matokeo hicho pekee ndicho kitazuia matokeo kubadilishwa. Lakini kusema sheria wakati mara zote majimbo waliyoshinda wapinzani huwa hayatangazwi hadi washindwe kabisa kubadilisha kutokana na nguvu ya umma ndipo watangaze
 
Suala la ajira ni tatizo kubwa sana hapa duniani

Lakini leo hii akina mama wa mkoa wa Mara huwezi kuwaambia kitu juu ya kiongozi aliyewajengea hospital ya rufaa,hapo awali walisafiri umbali mrefu.

Kubadili marais hata hapa Tanzania tunabadili kila baada ya miaka mitano. Kwa hiyo suala la msingi ni maendeleo.
 
Ahahahaaaa Mami [emoji23][emoji1787][emoji85]
Shukuruni tume si huru
 
Wewe umekaa kimya wakati watendaji wako wanahujumu wagombea wa upinzani halafu unapanua domo lako chafu kutoa shombo. Wewe ICC inakuhusu.
 
Chadema hao

Tumuadhibu yule msaliti wa Nchi waliyemsimamisha
 
Huku na huko, chama pinzani kimeshinda kihalali, je chama tawala kitakubali matokeo?

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…