beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Tume ya Uchaguzi (NEC) imesema Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Buhigwe utafanyika Aprili 30. Jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wake kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Kwa mujibu wa ratiba ya NEC, Kampeni za Buhigwe na Muhambwe ambapo pia pako wazi baada ya kifo aliyekuwa Mbunge wake zitaanza Mei 01-15 na Uchaguzi utakuwa Mei 16, 2021.
Kwa mujibu wa ratiba ya NEC, Kampeni za Buhigwe na Muhambwe ambapo pia pako wazi baada ya kifo aliyekuwa Mbunge wake zitaanza Mei 01-15 na Uchaguzi utakuwa Mei 16, 2021.