Sema unajipongeza mwenyewe maana wewe ni mwana ACTTume imeweka wazi ratiba ya Uchaguzi majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma.
Binafsi na wapongeza ACT Wazalendo na vyama vyote vilivyo onesha ukomavu wa kisiasa kwa kusimamisha Wagombea wao kuwania nafasi hizo za uwakilishi Bungeni.
Lakini pia Chaguzi za Madiwani kwa Kata 18 nazo zimetangaza nafasi hizo. Ni kazi ya vyama vya Siasa nchini kuziba nafasi hizo kwa kusimamisha Wagombea wenye sifa na watakao Leta Upinzani wa kweli katika Siasa na kuleta maendeleo kwa wapigakura.View attachment 1750261
ACT&Company woote ni washitika wa ccmKushiriki Uchaguzi chini ya tume Hii hii ya Dkt. Mahera simply vyama vya upinzani ni kama vinapoteza wakati. Nothing has changed concerning the structure of the electoral commission. Tutegemee matokeo yaleyale tuliyoyazoea!
Kwa wizi na hujuma mlizozifanya kwenye uchaguzi ndiyo maana mungu kawapa mapigo makuu.Historia ya kipigo kwa upinzani wakati wa uchaguzi si ya kufutwa wa kufutika siku za usoni
Mungu siyo wa mchezo mchezo maana tayari kashafanya yakeWasusaji na Waendelee mpaka Bwana Yesu atakaporudi.....! Ukisusa wenzio twala...
Wasusaji na Waendelee mpaka Bwana Yesu atakaporudi.....! Ukisusa wenzio twala...