NEC yaweka masharti matumizi ya simu vituoni Oktoba 28

Mwaka huu tutaelewana tu hakuna kutoka vituoni mpaka matokeo yatangazwe nimetoka kuhakiki jina langu na la mke wangu na ndugu zangu kibao kura zote kwa Lissu

Tupo tayari kufia vituoni mwaka huu kuliko kuendelea kuishi chini ya ushenzi wa Magufuli.
 
Hata Malawi simu janja iliwaponza sana ndio maana uchaguzi ukarudiwa.Vyama vya upinzani nawashauri wanunue vyombo vya kurekodi na kupiga picha kama kalamu, saa, miwani nk vitawasaidia mbeleni.
Hadi viatu vipo, saa na vitu vingine
 
Naona NEX wameanza mbinu chafu mapema, siji wanaogopa nini
Ata kivuli chao watakuja kuki ogopa
Wame juwa matokeo we utangaze ajira 13,000 za walimu waombaji wajitokeze zaidi 80,000 unahisi hizo kura za 67,000+ zita kwenda wapi!? CCM Ipo hoi ni polisi tu wana wapa oxygen vinginevyo wasinge kuwepo!
 
[emoji34][emoji34][emoji34]mbona sioni Sasa hayo naona maelezo tuu na ujinga ujinga tuu
Mkuu sidhani kama mtu mjinga anaweza ona kitu cha kiuelevu ,lazima uelevu auone ni ujinga na ujinga auone ni uelevu.
 
wazo
 
Mwenye kale kavideo Magu akizomewa Bukoba naomba,ukute hyo clip ishatekwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wasije wakasema tuingie bira nguo kupiga kura maana sio hofu hiyo.
 
Sharti la kwanza linatoa mwanya wa wizi wa kura. Hiki ni kikwazo kwa wapinzani kushinda.
 
Kwani NEC ina wasi wasi gani kuhusu matumizi ya Simu janja katika vituo vya kupigia kura?

Naona hawataki mawakala wa vyama wapeane taarifa za matokeo ya kura mapema ili wanajue kinacho endelea - hicho ndio nakiona mimi, maelezo mengine ni ya kupoteza lengo tu - the crux of the matter here is to muzzle smartphone communication in real time.
 
Kuna utaratibu wa kutumia sio kukatazwa wanatakiwa waweke kwenye mtetemo ili kusiwepo usumbufu kituoni yani wananchi wawe busy kuchagua serikali yao halafu wewe kisimu chako Cha mchina kiwapigie kelele
 
Sharti la kwanza linatoa mwanya wa wizi wa kura. Hiki ni kikwazo kwa wapinzani kushinda.

Kama nilivyo sema tangu mwanzo sharti LA kwanza linatia shaka sana iweji smartphone ziruhusiwe kwa msimamizi wa kituo,msaidize wake na pamoja mlinzi lakini mawakala wa vyama hawaruhusiwi - si tumeambia Dunia kwamba uchaguzi huu utakuwa wa wazi na haki sasa kwa nini hatutaki kifaa ambacho kinaweza kurekodi picha, voice,video clip na data vitumiwe na mawakala wa vyama ambao ni crucial katika mstakabari wa matokeo ya kweli katika Uchaguzi huu, tuwe makini tusifanya mambo ambayo Dunia itaanza kututulia shaka kuhusu matokeo ya uchaguzi huu - my opinion.
 
Kuna utaratibu wa kutumia sio kukatazwa wanatakiwa waweke kwenye mtetemo ili kusiwepo usumbufu kituoni yani wananchi wawe busy kuchagua serikali yao halafu wewe kisimu chako Cha mchina kiwapigie kelele

Mkuu hivi umesoma kwa umakini ni watu gani wanaruhusiwa kuingia na smartphone kwenye vituo vya kupiga kura?

Kwa taarifa yako mawakala wa vyama hawamo/hawaruhusiwi - kwa akili za kawaida hii inatoa picha gani?
 
Hapo kwenye matumizi ya simu kunahitaji maekezo zaidi .je ipo njia nyingine rasmi ya mawadiliano iliyoandaliwa katika vituo?Kama ipo ni ipi? Je iwapo wakala anahitaji kuwasiliana na chama chake pale anapobaini ukiukwaji was makusudi was taratibu za uchaguzi,no njia ipi atakayotumia ambayo ni huru?he Kama Hanna huoni Kama hiyo ndio njia ya kisayansi ya kupora ushindi kwa aliyeshinda.Kwani tumeshuhudia matukio ya ukiukwaji was taratibu yakuratibiwa.Maelezo ya ziada kutoka kwa wajuzi was Mambo haha tafadhali.
 
ni maelekezo ya kawaida kabisa.uchaguzi ukizungukwa na vyombo vya kitejnolojia ni hatar kudukuliwa.
nitoe wito wa kuweka vikagua vyuma wasachiwe wasiingie na simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…