NEC yaweka masharti matumizi ya simu vituoni Oktoba 28

NEC NI WAPUUZI TU....28/10/2020 LAZIMA KIELEWEKE HAKUNA KUTOKA KITUONI MPAKA KURA ZOTE ZIHESABIWE
tungependa kukufahamu ili wewe uwe wakwanza ukae kituo cha kura.sio kusema sema tu.wakat wewe umejificha nyuma ya keyboard
 
Hoja kubwa ya kuzuia simu ni kuogopa karatasi za matokeo kupigwa picha na kuwa ushahidi watakapo badirisha matokeo. Kumbuka nakala za matokeo kwa mawakala awamu hii imeelekezwa si lazima kutolewa. Kuwazuia watu kutumia simu vituoni ambapo mtu hutumia zaidi ya masaa 4 ni kuingilia Uhuru binafsi.
 
Haya masharti yametolewa lini na nec na viongozi wa upinzani wanayachukuliaje?
Kama hali ndiyo hii ushindi mtausikia kwenye redio tu
Hii kitu Ni yakupinga kwa nguvu zote kabla ya uchaguzi kufika
 
Siku hizi kuna jammer za kuweka hata mfukoni,simu zote zinazima kwa mita kadhaa,,wakitaka niwauzie,nnazo container mbili hapa hong kong..
Tandika relini hapo ndio Hong Kong 🤣 🤣🤣
 
Ata kivuli chao watakuja kuki ogopa
Wame juwa matokeo we utangaze ajira 13,000 za walimu waombaji wajitokeze zaidi 80,000 unahisi hizo kura za 67,000+ zita kwenda wapi!? CCM Ipo hoi ni polisi tu wana wapa oxygen vinginevyo wasinge kuwepo!
Hata hizo nafasi 13000 ni uongo, mpaka kura zinapigwa trh 28 hakuna atakaekuwa ameajiriwa. Ikitokea majina yakatoka, itafuata plan b, nayo ni pindi wakiripoti kwa wakurugenzi wataambiwa mafungu ya mishahara bado, warudi makwao watajulishwa mwaka mpya wa serikali.
 
Mkuu ata TRA na mashirika mengine wameambiwa wadai baada ya 28
 
Mkuu ata TRA na mashirika mengine wameambiwa wadai baada ya 28
Watanzania kudanganywa imekuwa kawaida. Ajira 800 kwa vijana waliojitolea OP MAGUFULI alizoagiza waajiriwe ziliishia wapi? Au 1500 alizo agiza waajiriwe vijana waliojenga ukuta wa melerani zilikwama wapi?
 
Hapa wanataka matukio yasirecordiqe. Sasa wakala wapewe kamera
 
Zanzibar kura mara mbili kichaka kichafu kuliko vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…