Necessity Goods ndo zitaweza ku survive kipindi hiki.

Necessity Goods ndo zitaweza ku survive kipindi hiki.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Katika kipindi hiki kwa wale walio wekeza kwenye necessity goods au Bidhaaa muhimu basi wanaweza survive kwenye biashara.

Bidhaa na huduma mihimu itabakia kuwa biashara ya mwisho kabisa kabla ya end of human civilisation.

Necessity goods zitako survive ni zile ambazo zinakuwa consumed na majorty ya Watanzania hasa wa kipato cha chini.

Vitu kama; Vyakula vyote hasa vya daraja la chini kabisa vitakuwa consumed sana, hapa namaanisha vyakula kama, Nafaka zote, Mboga za majani za aina zote, Vitu kama maharagwe na Dagaa.

Kuna aina ya vyakula vingine ni mihimu sana ila nyakati hizi vyakula hivyo vinaweza kuwa luxury; Matunda ya ainz zote, matunda ni muhimu sana ila kuna wakati hugeuka na kuwa luxury.

Vyakula vingine kama Samaki, Nyama za aina zote yaani Kuku, Mbuzi na Ng'ombe hivi moja kwa moja ni luxury.

Biadhaa zingine kama Mafuta ya kula, Sabuni, navyo demand yake inaweza isiteteleke sana.

Hivyo kama unalima basi nakushauri lima sana Mboga za majani, au nafaka hasa mahindi na maharagwe. Hivi vitu demand yake inaweza isiteteleke kabisa.

Pale reserve za watu zinapo zidi kupungua watu wana kuwa wana ji defence kwa kuspend kwenye vitu muhimu tu na vya bei ya chini kabisa.

Kwa Biashara ambazo sio za muhimu mtu kuwa na bidhaa hiyo basi hali itakuwa mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom