Neck fan kwaajili ya kukulete Hali ya ubaridi kipindi hichi cha joto.tucheki bei 18,000

Neck fan kwaajili ya kukulete Hali ya ubaridi kipindi hichi cha joto.tucheki bei 18,000

MMS Brands

Member
Joined
Nov 14, 2024
Posts
17
Reaction score
9
Neck fan kwaajili ya kukulete Hali ya ubaridi kipindi hichi cha joto.tucheki bei 18,000= tupigie simu 0762619116

528EB845-414D-4746-9D73-3F7745484B20.jpeg
 
Attachments

  • 634C2B15-54FC-4ED4-88AC-8FB3604C1731.jpeg
    634C2B15-54FC-4ED4-88AC-8FB3604C1731.jpeg
    57.7 KB · Views: 3
  • D1C29C4C-8DAE-43EA-BFF0-2A2D750DC47B.jpeg
    D1C29C4C-8DAE-43EA-BFF0-2A2D750DC47B.jpeg
    94.6 KB · Views: 3
  • 97EB05E9-5B74-414A-B558-9DC698A0EE66.jpeg
    97EB05E9-5B74-414A-B558-9DC698A0EE66.jpeg
    132.3 KB · Views: 2
  • ED581E5B-D605-4E29-B694-BB5281BA474A.jpeg
    ED581E5B-D605-4E29-B694-BB5281BA474A.jpeg
    89 KB · Views: 5
  • 47EF7D39-83F1-4864-91F8-A1CC9D0EED1E.jpeg
    47EF7D39-83F1-4864-91F8-A1CC9D0EED1E.jpeg
    62.8 KB · Views: 2
  • A4050C94-C908-4AC6-95A3-9AA5601D0977.jpeg
    A4050C94-C908-4AC6-95A3-9AA5601D0977.jpeg
    496.9 KB · Views: 5
Baadae nikaja kugundua, Watu hawana ofisi Wala nn, Binadam hususan mkazi wa Dar, Kila MTU ni dalali.

Ananagalia vitu mtandaon, ana download video / picha.

Anakuja Kwa watanzania anawapostia, alafu anasema Tuma Hela, mzigo ukifikie., kumbe Pesa yako ndio ambayo inaenda kuanziasha biashara yake .

Mkuu mana yangu ni kwamba...

Kwann umeweka Namba ya simu, hujasema unapatikana wapi?.ofisi zipo wapi.

Kwann umetumia picha za kudaunilodi badala ya kupiga picha ukiwa nazo wewe mwenyewe umevaa shingoni au hata ukiwa umeshikilia mkononi.

Kwa maelezo ya tangazo lako, na picha ulotumia, niseme tu wee ni TAPELI HAUNA OFISI .
 
Nipo Tiptop manzese jirani na JM hotel boss karibu tukuhudumie Asante 🙏
 
Baadae nikaja kugundua, Watu hawana ofisi Wala nn, Binadam hususan mkazi wa Dar, Kila MTU ni dalali.

Ananagalia vitu mtandaon, ana download video / picha.

Anakuja Kwa watanzania anawapostia, alafu anasema Tuma Hela, mzigo ukifikie., kumbe Pesa yako ndio ambayo inaenda kuanziasha biashara yake .

Mkuu mana yangu ni kwamba...

Kwann umeweka Namba ya simu, hujasema unapatikana wapi?.ofisi zipo wapi.

Kwann umetumia picha za kudaunilodi badala ya kupiga picha ukiwa nazo wewe mwenyewe umevaa shingoni au hata ukiwa umeshikilia mkononi.

Kwa maelezo ya tangazo lako, na picha ulotumia, niseme tu wee ni TAPELI HAUNA OFISI .
Mkuu miaka hii mtu anaweza akawa anafanya biashara bila ya kua na ofisi,ukihitati kitu bodaboda anaagizwa anakuletea ulipo ilhali mzigo wa huyo anayefanya biashara,upo ndani mwake.
Hii imesaidia sana watu ambao bado wanajitafuta.Sidhani kama ni vema kumlebo mtu kua ni tapeli.
 
Asante mkuu tuna pambana kidogo kidogo
Ushauri Wangu kuhusu Biashara Yako.
Kipindi hiki cha graduation kuna make up nyingi Sana wanafanya kwaiyo tafuta link za magroup husika uuze huko.

Pia tafuta makundi ya WhatsApp ya shughuli uza Huko pia Facebook post huko fanya delivery utafanikiwa sana Boss
 
Asante mkuu ushauri umepokelewa Ntakufanyia kazi💯
 
Back
Top Bottom