Nimesoma swali la Matching la Biology nawapa Big Up. NECTA maana kwa kweli limekidhi vigezo vinavyotakiwa. Peruzi kwenye Google mambo ya Matching items na moja ya sifa muhimu ni kuwa swali litokane na "homogeneous Content. Hivyo sioni tatizo natafuta swali la 8 la civics nitarejea baada ya kulisoma
mdau wewe ni mwalim,,,,???
Sasa huo ndio utaratibu wa necta kuanzia mwaka jana,swali la matching item ni la topic moja,,,,,,na walishatoa mwongozo kwenye format mpya ya utungaj wa mitihan,,,,,kama hukua na taarifa taarifa ndio hiyo na walim walishapewa semina ELEKEZI