NECTA 2012 mjitathimini

NECTA 2012 mjitathimini

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
ni hatari swali la matching items biology kuwa la topic moja ya jicho,huu ni mfano tu,angalieni civics pia swali la 8
 
Nimesoma swali la Matching la Biology nawapa Big Up. NECTA maana kwa kweli limekidhi vigezo vinavyotakiwa. Peruzi kwenye Google mambo ya Matching items na moja ya sifa muhimu ni kuwa swali litokane na "homogeneous Content. Hivyo sioni tatizo natafuta swali la 8 la civics nitarejea baada ya kulisoma
 
Wamechemka praktico ya kemia,2A KWENYE VOLUMETRIC ANALYSIS
 
ni hatari swali la matching items biology kuwa la topic moja ya jicho,huu ni mfano tu,angalieni civics pia swali la 8

mdau wewe ni mwalim,,,,???
Sasa huo ndio utaratibu wa necta kuanzia mwaka jana,swali la matching item ni la topic moja,,,,,,na walishatoa mwongozo kwenye format mpya ya utungaj wa mitihan,,,,,kama hukua na taarifa taarifa ndio hiyo na walim walishapewa semina ELEKEZI
 
Bajabiri asante sana kwa kunifumbua,ila duh!mie bado natafakari mfumo huu wa elimu yetu,waliondoa syntax a-lv leo utata.
 
Back
Top Bottom