NECTA Form Six kufanywa May mwakani

NECTA Form Six kufanywa May mwakani

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,273
Kwa mwenye habari kamili kama Mtihani wa taifa form six mwakani ni May, nimesikia tetesi chini chini ila sina hakika
 
Hii necta tena ya form six,, ikipelekwa mbele wa2 ndo watafeli zaid maana watasoma vi2 unnecessary,, bora 2 waiache ilivyokuwa!
 
hakuna kitu kama hicho wakuu,hili lilikuwa wazo la mbunge wa CDM viti maalum wakati akichangia hotuba ya waziri wa Elimu,hata hivyo halikutiliwa maanani
 
Back
Top Bottom