Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 249
Aisee, Arabic na Islamic Knowledge!? Sasa hiyo combination inaitwaje? Waisilamu bwana!... Hata hivyo masomo ya Arabic na I/knowledge kwa Zbar yana comb na yanatumika kujenga idadi ya pointi wakati kwa upande wa Bara hayatumiki wakati wa kupata idadi ya pointi.
Aisee, Arabic na Islamic Knowledge!? Sasa hiyo combination inaitwaje? Waisilamu bwana!
acha porojo wewe!
A ya kipindi chetu ilikuwa 81-100
A ya sasa 71-100
Ninachokiona hapa ni mkakati wa serikali kupunguza watu wanaoingia vyuo vikuu.
Hivi kwa nini marobot ya CCM hapa JF hayajadili habari kama hizi?
Basi Hapo Kosa Walifanya Mwaka Jana Kuwafelisha Lakini Kwa Mwaka Huu Wapo Sawa Na Miaka Mingine Kutokea 2012....
Mkuu, Arabic language, Kiswahili na English language, ndio tahasusi inayochanganywa na kiarabu kwa kule zenj
Zaman A ilikuwa 75-100 na ndvyo ilivyo mpka sasa acha kupotosha jamii mkuu.
KUPUNGUZA au kuongeza? watapunguzaje wakati wametanua magoli?
Zaman A ilikuwa 75-100 na ndvyo ilivyo mpka sasa acha kupotosha jamii mkuu.