Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakiki Arabic mbona ni somo la lugha kama Kiswahili na English au ndo kusema mfumo galatia... Hahahaha
Hivi kwa nini marobot ya CCM hapa JF hayajadili habari kama hizi?
serikali ya CCM imeamua kucheza na elimu ambayo n mapigo ya moyo wa taifa hili.
sina shaka huu ni mpango maalumu wa CCM kuazalisha jamii yenye elimu duni ili iwe easy kuwafanyia brain wash kuwatawala.
Tatizo wanahisisha Kiarabu na Uislam wakati Arabic is just a language like French
Ninachokiona hapa ni mkakati wa serikali kupunguza watu wanaoingia vyuo vikuu.
Hivi kwa nini marobot ya CCM hapa JF hayajadili habari kama hizi?
Toa ushahidi wa hayo unayoongea... mimi nakupa Barua ya Wizara 2013; nanukuu "Katika mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012 Baraza lilitumia mfumohuu wa alama mgando ambapo: A = 80 100, B = 65 79, C = 50 64, D = 35 49, F = 0 34. Kwa upande wa Kidato cha Sita Baraza lilitumia mfumo wa A = 80 100; B = 75 - 79; C = 65 74; D = 55 64; E = 45 54; S = 40 44 na F = 0 39". Kisha hapa tena:"Muundo huu mpya wa alama utatumika kwa mzunguko wa miaka minne kabla haujahuishwa tena ili kuupa muda wa kutosha kuona aina ya changamoto zinazojitokeza na jinsi ya kuzishughulikia..." Kwa mantiki hii, viwango vya alama na ufaulu ni kama inavyooneshwa kwenye jedwali la 1 hapa chini: A=75 - 100, B+ 60 - 74 B=50- 59 10, C=40 - 49 10, D=30 - 39, E=20 - 29 , F=0 - 19. Source: http://www.moe.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=305&Itemid=622. Kama device unayotumia haiwezi ku-download PDF document, basi soma hapa: TAARIFA MUHIMU: SERIKALI YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA ALAMA ZA UFAULU ELIMU YA SEKONDARI‏ | EDDY BLOG .Unaongea kwa ujasili kabisa eti huyo wa III 13 angekua na four mbaya zamani.umefanya uchunguzi au unaandika tuh..kwa mfano mtu mwenye CCD huyo ndo atakua na III13 C ya mwaka huu inaanzia 40-49 na D inaanzia 30-39 sasa hapo kapata C mbili inamaan mwaka jana angekua na D mbili ambazo zingekua point 4 afu hyo D ingekua E ambayo ingekua tano kwa hyo angekua na three nzuri tu.kwa hyo usikurupuke fanya kwanza utafiti ndo uandke humu sawa mkuuu.
Toa ushahidi wa hayo unayoongea... mimi nakupa Barua ya Wizara 2013; nanukuu "Katika mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012 Baraza lilitumia mfumohuu wa alama mgando ambapo: A = 80 100, B = 65 79, C = 50 64, D = 35 49, F = 0 34. Kwa upande wa Kidato cha Sita Baraza lilitumia mfumo wa A = 80 100; B = 75 - 79; C = 65 74; D = 55 64; E = 45 54; S = 40 44 na F = 0 39". Kisha hapa tena:"Muundo huu mpya wa alama utatumika kwa mzunguko wa miaka minne kabla haujahuishwa tena ili kuupa muda wa kutosha kuona aina ya changamoto zinazojitokeza na jinsi ya kuzishughulikia..." Kwa mantiki hii, viwango vya alama na ufaulu ni kama inavyooneshwa kwenye jedwali la 1 hapa chini: A=75 - 100, B+ 60 - 74 B=50- 59 10, C=40 - 49 10, D=30 - 39, E=20 - 29 , F=0 - 19. Source: http://www.moe.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=305&Itemid=622. Kama device unayotumia haiwezi ku-download PDF document, basi soma hapa: TAARIFA MUHIMU: SERIKALI YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA ALAMA ZA UFAULU ELIMU YA SEKONDARI‏ | EDDY BLOG .
Sasa basi, tumchukue huyo wa CCD ambae umetolea mfano. Huyo amepata C na range ya ufaulu wake ni 40-49 kama ulivyosema. Sasa basi, angalia hiyo 40-49 kwa mwaka 2012 inaingia wapi... kwa kuangalia barua ya wizara. Sidhani kama panahitaji utaalamu kufahamu kwamba hiyo 40-49 ambayo ni C (2014), inaangukia ama kati ya S = 40 44 au kwenye E = 45 54 bHivyo basi, kwa kutumia grading za 2012, hiyo C ingekuwa ama E or S! Una lingine?
We vipi?????!!! Mie nimeleta suala lingine kabisa, wewe ukaniambia naongea bila utafiti... nakupa reference ya wizara, unageuka unasema nilitaka wafeli... hoyaaa, we vipi???!!! Kama umeshau, hoja yako hii hapa:Kwa Hiyo Wewe Ulitaka Wafeli Kama Mwaka Jana Au Sio..Kufeli Kwa Watu Sio Kupanda Kwa Elimu..Mbona 2012 Watu Walifaulu sana tu. Na Grade Zilizotumika Ni A 75-100 B 65-74 C 55-64 D 45-54 E 35-44 S. 25-34 F 0-24....
Kufeli Kwa Mwaka Jana Usiwahukumu wa mwaka huu na kumbuka form6 wa mwaka huu walifaulu vizuri form4 2011 tofauti na form6 wa mwaka jana waliofanya mtihani wa form4 2010
Sasa je, naandika kwa kurupuka, au?kwa hyo usikurupuke fanya kwanza utafiti ndo uandke humu sawa mkuuu.
We vipi?????!!! Mie nimeleta suala lingine kabisa, wewe ukaniambia naongea bila utafiti... nakupa reference ya wizara, unageuka unasema nilitaka wafeli... hoyaaa, we vipi???!!! Kama umeshau, hoja yako hii hapa: Sasa je, naandika kwa kurupuka, au?
Basi Hapo Kosa Walifanya Mwaka Jana Kuwafelisha Lakini Kwa Mwaka Huu Wapo Sawa Na Miaka Mingine Kutokea 2012....
Sijakuelewa una maana gani ukisema hawa ni sawa na 2012. Mwaka 2012 hapakuwa na B+ na Div I ilianzia pointi 3-9 lakini mwaka huu inaanzia 3-7, vitu vingi ni tofauti sasa huo usawa ni upi hapo. Unajitesa bure kutetea u....zi wakati kila aliye na akili timamu anaona kabisa kuwa NECTA imechakachua matokeo kwa kivuli cha viwango vipya vya upangaji wa madaraja
sio kweli angalia Tabora boys kuna mwanafunzi ana dvsn I ya point 4 na ana A ya Physics