Mzee wa fund
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 514
- 89
aisee umeamka au bado umelala, kwani NECTA wanaingia darasani kufundisha, au NECTA wanasambaza walimu kwenye mashule, AU NECTA wanazuia watoto wasisome waende beach na kufanya mapenzi na waendesha BODABODA