Mzee wa fund
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 514
- 89
Kuna mpango unao andaliwa kufuta baraza la mitihani la Tanzania(NECTA).Habari za uhakika kutoka wilaya ya mbozi(mbeya) zasema kuwa kikao cha wadau wa elimu kilifanyika 5/3/2013 kilihusisha wafuatao:mkurugenzi,mkuu wa milaya,madiwani,waratibu elimu kata,wakuu wa shule,watendaji wa kata na vijiji.Inasemekana vikao hivyo ni kwa wilaya zote Tanzania bara na visiwani na ni agizo toka kwa mkuu wa kaya.
Tusubiri tuone.ni suala la muda tuu.
Tusubiri tuone.ni suala la muda tuu.