NECTA huwa wanasahihishaje mitihani yao? Nimepata mashaka ya alama za ufaulu wa wadogo zangu


Kuna tofauti kidogo jinsi matokeo ya mwisho ya kidato cha nne yanavyokokotolewa, ukiona mwanao kapata A au B sio kwamba hiyo A kaipata kwa marks za mtihani huo wa siku hiyo ya mwisho tu,hapana! Kuna kitu kinaitwa continued assessment ambapo kuna alama mwanafunzi anachukuliwa kutoka kwenye matokeo ya mock na yale ya mihula rasmi shuleni kisha yanaongezwa kwenye hizi alama alizopata mwishoni then ndio alama ya matokeo ya jumla inapatikana. Kwa hiyo kwa swala la hao watoto ulivyowapima hapo umekosa kuwawekea alama continued assessment zingekuwepo ungekuta huyo aliyepata B ingerudi A na hao wa C ungekuta B au hata A.
 
Una roho ya wivu sana wewe,acha roho mbaya!
 
Zamani watu walifelishwa sana kwa sababu kulikuwa hakuna nafasi za kusoma.

Ukifanya wengi wafauku halafu huna nafasi za kuwasinesha itakuwaje?


Siku hizi wanapasishwa kwa sababu nafasi zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 nimwaka wa uchaguzi

Kilichofanyika nikupika matokeo. Ccm mabingwa sana wa upotoshaji.

1. Kuwanyima wapinzani hoja

2. Kuwahadaa wazazi


Lakini wanasahau kwamba wanaumiza taifa kwa kutengeneza Vilaza ambao wataharibu sana huko tuendako sector zote.
 
Hata mimi matokeo ya mwaka huu yamenishangaza.
 
kila nabii na nyakati zake muda mwingine hata kufanikiwa kimaisha huwa hivyo pia utajikuta unashangaa watu unao waona wakawaida wanafanikiwa zaid kuliko wewe.
 
We jamaa mbona unaniangusha hivi. Mimi nimefanya NECTA A Level mwaka jana. Mwaka huu kuna mtu akapost paper la Biology nikajaribu kuchunguza nikagundua maswali kibao niliyokuwa naelewa sasahivi chenga. Yaani niendelee kuweka mawazo ya ovulation, spermatozomia, oogenesis, Krebs cycle, etc. Hivyo vyote nijue definitions, stages zake, n.k wakati hayanisaidii na siyatumii tena. Ndo maana wanaofaulu mitihani si wote maisha wanafaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…