NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa

NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa

Mwanangu haba tabia za kibangebange
Mkuu utajuaje kwani ulikuwa unashinda naye? watoto wengi wanafanya mambo wawapo nje ya nyumbani ukiambiwa unaweza kumkataa.

Labda kama ni mtoto wa kike sio rahisi kufanya hivyo lakini kama ni wa kiume yote weka akilini.
 
View attachment 2468663
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 4, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022.

Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Darasa la 4 >>> https://matokeo.necta.go.tz/sfna2022/sfna.htm

Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili >>> https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm

Bonyeza hapa
NECTA IT wamechemsha matokeo ya kidato cha 2. Wangefuata mtindo wa Alfabet kulingana na majina ya shule kama walivyofanya miaka iliyopita. Mwaka huu wamechanganya tu, sijui hawakuwa na wataalam.
 
Back
Top Bottom