Tupe na updates za Jinsi grade ranges za Masomo mengine zilivyo na hao wanoonewa Islamic Knowledge wamepata nini kwani hilo somo haliwezi kukusaidia lolote. Inabidi mtafute wakuu wadini wawafanyie ukombozi wa Uongo na Kulalamika.Necta ni chombo muhimu tena sana.
Nadhani anayeweka hizo passmarks ni muandaaji wa hiyo mitihani.........mimi sijui anaandaa nani.....nahisi BAKWATA