NECTA ipongezwe kwa haya

NECTA ipongezwe kwa haya

kipimbi

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Necta ni chombo muhimu tena sana.

attachment.php
 

Attachments

  • necta.jpg
    necta.jpg
    66.9 KB · Views: 430
Then hata upate A++ ya Bible Knowledge ukafel masomo mengine utabaki kusaidia familia yako tu
 
Hivi kwa nini NECTA inashughulikia mitihani ya Dini. Kwa nini wasiwaachie mashekhe wakatunga na kusahihisha Elimu ya Dini ya Kiislamu na Maaskofu watunge na Kusahihisha Bible Knowledge? Kama ni kweli serikali haina dini, inakuwaje taasisi yake ishughulikie mitihani ya dini? TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Necta ni chombo muhimu tena sana.

attachment.php
Tupe na updates za Jinsi grade ranges za Masomo mengine zilivyo na hao wanoonewa Islamic Knowledge wamepata nini kwani hilo somo haliwezi kukusaidia lolote. Inabidi mtafute wakuu wadini wawafanyie ukombozi wa Uongo na Kulalamika.
 
Nadhani anayeweka hizo passmarks ni muandaaji wa hiyo mitihani.........mimi sijui anaandaa nani.....nahisi BAKWATA
 
Nadhani anayeweka hizo passmarks ni muandaaji wa hiyo mitihani.........mimi sijui anaandaa nani.....nahisi BAKWATA



Ingekuwa masomo - ya kumpa mtu Mtaala wa kufuata - hapo ingesumbua - lakini issue za A, B etc. kwenye somo la DINI?????? kwani ukipata A kwenye dini ndio utafika mbinguni au??? utakuwa Shekhe au Askofu??

Just thinking loud ............
 
Back
Top Bottom