NECTA jamani nina C masomo 5 na B masomo 2 afu nina division 4 ushauri jamani

NECTA jamani nina C masomo 5 na B masomo 2 afu nina division 4 ushauri jamani

Toa namba yako tuhakiki kabla hatujasema chochote

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
je una kadi ya chadema au wazazi wako si maccm?,
 
Ache ujinga mimi nafikiri izo B umepewa tu au mwaka huu pata sote ndo mana
Unataka usaidiwe nini tena na necta ndo wameshakusaidia
 
Hebu taja kituo na namba.Acha kuzingua dogo,utumbo WA necta Ni kwenye div 4 na 0 Tu tena point 41 mpaka 44 Tu.
 
Wewe dogo embu tuweke wazi manake hainingii akilini uwe na ufahuru uo alafu uwe na lifour haya weka number tukupe matokeo manake na kuchanganyikiwa kumo
 
Ni kweli kuna bomu la serikali na necta limeshabumbuluka na hawatoki mwaka huu.mtu ana point 42 ana 0 wakati mwenye 45 ana 3.pig results now.
 
Ache ujinga mimi nafikiri izo B umepewa tu au mwaka huu pata sote ndo mana
Unataka usaidiwe nini tena na necta ndo wameshakusaidia

Sasa hapa mwenye ujinga ni nani? Huyu mchangiaji au Dogo Mleta Uzi aliyeomba ushauri kwa lugha, uandishi na maelezo yanayoeleweka? Hii kweli ni Pig Results Now!
 
Nipeni ushauri ndugu zangu nimechanganyikiwa jamani
Sijaelewa unachanganyikiwa na nini wakati, mfumo umebalika, usichanganye na mfumo ule wa zamani, sasahivi, A=1 B+=2 B=3 C=4 D=5 E=6 na F=7 fanya hesabu zako kupitia mfumo huo, pia ujue ujue C ya sasa inawezekana ni D ya zamani, maana idadi ya marks100 haijaongezeka sema wamenyambulisha alama tu kwa kugawa hizo marks
 
sijaelewa unachanganyikiwa na nini wakati, mfumo umebalika, usichanganye na mfumo ule wa zamani, sasahivi, a=1 b+=2 b=3 c=4 d=5 e=6 na f=7 fanya hesabu zako kupitia mfumo huo, pia ujue ujue c ya sasa inawezekana ni d ya zamani, maana idadi ya marks100 haijaongezeka sema wamenyambulisha alama tu kwa kugawa hizo marks

mi yangu macho.
 
C 5= 20 points
B 2= 6 Points

kama uyasemayo ni kweli una Div. 3 ya points 26.
 
dah kumbe na mim niki ya transfer matokeo yangu ya zamani kua aya ya sasa ntakua nna one kali sana hata ya point 8, Tanzania bhana yaani inatumia noti mbili za pesa tofauti katika muda mmoja na sasa itatumia vyeti vya secondary viwili tofauti kima grades....no further questions yourhornor..
 
If that is the case
Is it Big Results Now or Pig Results Now?
 
huyu dogo mzushi,mbona hatoi number sasa?nina hakika kaleta hii thread kuchezea akili za watu humu jf. shame on him/her!
 
Back
Top Bottom