NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

Bora watoe majibu, tumechoka kukaa nyumbani kusubiri matokeo.. Sijui nitapangiwa wapi
 
Waaow hongera yake in advance kujiamini ni mwanzo wa mafanikio
Hongera kwako me pia dogo kapiga pepa mwaka jana ( she is she).

Dogo anajiamini anasema atapata wani
 
Walikuwa wanasubiria uchaguzi wa Chadema Umalizike!

Nitamfikishia ujumbe huu mh. Mwenyekiti TUNDU LISU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…