Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Yeah ila huwa kuwapanga ni kwenye mwezi wa 5 then wa kumi ndio huwa wanaenda vyuoOk tunatarajia waanze certificate na diploma one mwezi wa kumi Insha'Allah
Yep Ila sii wanaruhusiwa kufanya application hata wakipangiwa kwingine!Yeah ila huwa kuwapanga ni kwenye mwezi wa 5 then wa kumi ndio huwa wanaenda vyuo
Ndio inaruhusiwa ila kama anataka kwenda chuo ni vyema akaaweka choice ya chuo kwenye selform kama choice pekee asiweke advance ila kama anataka kwenda advance aweke advance na option nyingineYep Ila sii wanaruhusiwa kufanya application hata wakipangiwa kwingine!
😂😂😂
Huyo unayemuita Mchumba anatrend uko ushetanini na ana experiences ya kutoshaNECTA tangazeni mapema tupate wachumba wa kuoa.
( Mademu watakao pata zero)
Ushetanini ndio wapiHuyo unayemuita Mchumba anatrend uko ushetanini na ana experiences ya kutosha
Watayaweka saa ngapi?Chanzo:NECTA Online
Kwa habari zaidi soma hapa.
Matokeo yatarushwa live hapa
Kesho Baraza la Mitihani Tanzania NECTA litatangaza matokeo ya kidato Cha Nne 2024/2025 kupitia live YouTube na pia matokeo hayo yatawekwa kwenye tovuti yao necta.go.tz .
Mzigo upo hewani sasa
Duh shkamoo.Wa kiume
Acha kiwewe.Mmesema mnatangaza matokeo leo saa 5 . Saa 5 imefika website zenu hazifunguki. Whats wrong with you guys?
Matokeo kwa mwaka huu yatapanda tena. Kila mwaka yanapanda tu na hatujiulizi kwanini yanapanda. Nchi ya kipuuzi sana hii.