Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
- Thread starter
- #21
Wenzako wanalia halaf ww unakuja leta utani hapa kisa umeshiba mihogoAcha uongo marking mtu alipwa posho si chini ya 1.5m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wanalia halaf ww unakuja leta utani hapa kisa umeshiba mihogoAcha uongo marking mtu alipwa posho si chini ya 1.5m
Hiki ni kihatarishi.... Hakika.... Hesabu za darasa la 4 ufaulu uko hivi... Vipi mitihani ya kuelekea chuo kikuu?? Nimefadhaika😥Hebu jaribu kusema kwenye serikali Lawama iende wapi hasa. Ili tuboreshe uwezo wa kulaumiana..Nani Kanyima elimu na maslahi kipaumbele?. Ili tushauri avuliwe cheoView attachment 2470788
Haijashushwa hadhi, hadhi yao ilivyokuwa toka mwanzoni.Walimu wana stress na maisha magumu mno. Afu kada imeshushwa hadhi. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Akati ni kada muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu baadae na kizazi kijacho.
Wahusika waww serious na wachukue hatua stahiki.
Bujibuji,sababu ya CWT kutokuwa na msaada kwa walimu ni kuwa CWT Ina mfungamano na CCM .Wana uswahiba ambao ni hasara kwa mwalimu.Cwt haiwezi kuitisha mgomo,kuhamasisha walimu kudai haki,Wala kuleta shinikizo kwa serikali kwa sababu ya uswahiba uliopo.Hata mifumo ya uchaguzi ndani ya Cwt haina tofauti na ile ya CCM,ni rushwa,upendeleo na kujuana ndipo unapata nafasi.Walimu wa nchi hii wanaona raha sana kuburuzwa, kupuuzwa na kudhalilishwa. Kwanini hawapigi kelele?
Chama cha walimu kinawasaidiaje? Je wameshindwa hata kwenda kulalamika mahakama ya kazi?
Lazima tuanze kulikemea kwa nguvu zoteHalafu pasipo kufikiria wanakuja kututangazia tu ufaulu darasa fulani umeshuka wanashindwa ku-mesmerize kuwa source ni wenyewe kwa kushindwa kuwa encourage walimu angalau wapate tumaini kwa kuona serikali inajali juhudi zao
Bado kuna kaz kubwa ya kufanya,serk lazima iwajibike kwelikweliHilo ni tatizo,binafsi natamani wataalamu wetu hawa wangepewa hata posho kila mwezi,at least hata 100k.
NB:
Sitapeleka mwanangu St Kayumba za serikali😂😂
Inasikitisja kwa kweli na inavunja morali kabisa ya kuwaandaa vijana wetuNipo hapa Dodoma nakunywa bia yangu!.. nilikua Mbeya Iwata,,so stupid kwa kweli posho zimepungua badala ya kupanda hela ya kaz pia imeshuka badala ya kupanda yaan hela ya kazi maalumu ipo chini ya mshahara wangu
Inatakiwa waanze kutambua wao ni akina nani na umuhim wao katika taifaWapo wengi nchini lakini wamezidi upole, uchawa na uoga wa hali ya juu.
Mtu anamuogopa mkuu wa shule kama mkuu wa nchi, huyo ataichallenge serikali!??. Akija afisa nani nani sijui basi siku hiyo walimu ni kupigana vikumbo kuingia madarasani.
SubutuSuala la malipo hilo linakuwa ni bajeti ya serikali na si baraza la mitihani sababu hata viongozi waandamizi wa baraza wanasubiri malipo yao kutoka serikalini sababu serikali ndiyo mlipaji mkuu.
Kingine tambua walimu wana roho mbaya kuliko kuliko watumishi wote duniani. Inavyoonekana na wewe ni mwalimu sasa waliona wakikwambia wamekunja m2+ utawaletea kiwingu cha njaa.
Ni mfanyakazi gani wa Serikali aliwahi pigania maslahi yake akapata kama anavyotaka?Wapo wengi nchini lakini wamezidi upole, uchawa na uoga wa hali ya juu.
Mtu anamuogopa mkuu wa shule kama mkuu wa nchi, huyo ataichallenge serikali!??. Akija afisa nani nani sijui basi siku hiyo walimu ni kupigana vikumbo kuingia madarasani.
Inatekelezeka vizuri,siasa zinaiharibu nchi.Maoni yangu, kuboresha maisha ya waalimu kunaanza na mishahara yao, sio posho za mitihani. Wakati flani serikali inaona mbona mishahara ya waalimu inalingana na kada nyingine, utofauti ni kuwa kada nyingine wanaweza kuishi bila kutegemea mishahara. Mf dactari, nesi, taasisi za fedha, Askari wote Wana malipo ya ziada
Kwa kuwa waalimu hawana malipo ya ziada, mishahara yao ilitakiwa kuwa tofauti, au nao wapewe malipo ya ziada "allowance"
Shida waalimu ni wengi sana, serikali inaona ni mzigo mkubwa, haitekelezeki
Linaookuja suala la kutimiza wajibu bas neno uzalendo huwa unatangulizwa hasa kwa walimu pekeeeNi kwamba mambo yalianza kuharibika awamu ya tano pale ambapo kila kitu kilikuwa ni uzalendo. Wakapenyeza wazalendo kwenda kusahihisha mitihani yaani walimu makada aka matanga ambao wao kila kitu ni ndio. Hapo ndipo mambo yalipoanza kubadilika.