NECTA kwa kushirikiana na serikali naona mnaenda kuizika rasmi elimu ya Tanzania

Mwaka jana tu, wamelipwa laki 7 ndio wakaambiwa waje wasimamie form 4,kufidia pesa za kazi yao
Da inasikitisha sn kwa kweli,yan serk inacheza na rasilimali ya elimu bila uoga wowote kitu ambacho ni hatar kwelikweli
 
Walimu wana stress na maisha magumu mno. Afu kada imeshushwa hadhi. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Akati ni kada muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu baadae na kizazi kijacho.

Wahusika waww serious na wachukue hatua stahiki.
kama kuna vidonge unatumia endelea kunywa. Vinafanya kazi vizuri.

Umetema cheche positive sana
 
Mwanza hadi Mtwara kufanya marking ya Civics kwa 500k?

Kuna risky
nyingi barabarani mfano Ajali,afya n.k.

Unbelievable
 
Wewe upo Nchi Gani ?? Unaropoka tu marking anaepewa pesa nyingi ni laki 9 tuu hata 1M hakuna anayepata.

Labla kama unazungumzia Makatibu wakuu.
Huenda mambo yamebadilika acha nijifunze kwa waliotoka juzi.
 
Haijashushwa hadhi, hadhi yao ilivyokuwa toka mwanzoni.

Tatizo ni kuwa watu wengi hawakuwa ma elimu hivyo kuwaona wao ndo welevu.

Chukua swali kampe mwalimu anayemfundisha mwanao
Duuuh bas hatareeeeee
 
Mwalimu ni mtumishi wa umma kama walivyo madaktari,maafisa ugani,manesi,wahasibu na wengineo ajabu watumishi wote wanapofanya kazi maalumu ukiondoa walimu hupewa maslahi yao kama ilivyoandikwa kwenye miongozo ya utumishi wa umma,mwalimu yeye hupangiwa na halmashauri na baraza malipo wanayotaka na sio muongozo wa utumishi,yaani mwalimu ni kibarua aliyeajiriwa hana haki yoyote
 
Maboss wa NECTA wanatumia umasikini walimu kujineemesha, ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa vyakula wanavyokula wasahihishaji vinalipiwa pesa nyingi ambayo baadaye inarudi kwa viongozi
 
Maboss wa NECTA wanatumia umasikini walimu kujineemesha, ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa vyakula wanavyokula wasahihishaji vinalipiwa pesa nyingi ambayo baadaye inarudi kwa viongozi
Huu mchezo upo hata kwenye semina za mitihani, unashangaa andazi moja na chai, eti shilingi 5000,hawana hata aibu, mtu kaamka saa 11 asubuhi awahi semina ila anakutana na balaa, au anapewa mlo mmoja tu mchana
Pia ndio muda wa kujenga kwani wanapiga pesa sana, mchawi wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe
 
@Mpwayungu village
 
Kwa kweli bila kukemea haya mwalimu bado atabaki nyuma sn

Ni wakat wa kupaza saut kwa nguvu zote ili tuwaokoe wataalamu wetu na aibu hii
 
Maboss wa NECTA wanatumia umasikini walimu kujineemesha, ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa vyakula wanavyokula wasahihishaji vinalipiwa pesa nyingi ambayo baadaye inarudi kwa viongozi
Aisee kumbe ni kama mchezo unachezwa hiv na wala wao hawajali zaid ya kujali matumbo yao
 
Inaumiza sn

Serk inabid iingilie kat ujinga huu mana wanayofanyiwa walimu usalama wanajua lkn kwa sababu ni wakimu wanaacha ujinga unaendelea lkn yanapokuja mambo mengine ya kijinga eti ndio utaona wanaojiita usalama wako machoo

Nchi ya kipuuzi sn hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…