NECTA: Matoke ya form 4 na form 2 yanatoka lini ili shule zilizovurunda zife?

NECTA: Matoke ya form 4 na form 2 yanatoka lini ili shule zilizovurunda zife?

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
1,805
Reaction score
1,876
Wanafunzi wamefanya paper mwezi November.

Matokeo ni muhimu sana muda huu. Kwa nin?

Tunataka tuhamasishe watoto wasiende kwenye shule zilizovurunda na tuhamishe watoto wetu wasijuinge kwenye shule hizo.

Hivyo NECTA harakisheni kutoa matokeo ili aibu izikumbe shuke za kibabaishaji zinzopotozea muda wa watoyo wetu wakati zinaishia kefelisha watoto hao.
 
Watoe Kwanza ya Darasa la nne.
 
Naunga hoja mkono
 
Hakuna mtu mjinga kama anayetukana mwalimu.

Kama shule yako umejaza walimu wa aina hiyo kwa sababu ni cheap labour tena sometimes huwalipi mishahara, kwa nini tusipe jina lolote la kipuuzi wewe na shule yako na walimu wako.

Ukifikiria musa unaopotiza kwa watoto wetu kwanza unastahili hata shule yako ifungiwe.
 
Shule Ni hao watoto wako vilaza

Hujaelewa mada. Watoto wanafeli zaidi ya nusu halafu usingizie watoto badala ya ubabaishaji wa shule unayomiliki na ukilaza wa waalimu ulioajiri wa cheap labour.
 
Back
Top Bottom