SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Labda tayari huko kwenu baraza, si huku mtaani. Acha uongoForm two tayari, form 4 get prepared after two weeks.
Huyo ni member muda huku,labda kama ni PCSema tu unaulizia matokeo yako
Inamaana sikuhiz humu kuna wanafunzi wa skondari😵Sema tu unaulizia matokeo yako
ukweli Cha msingi akae kwa kutulia yatatoka tuIla brain mtoto anazaliwa nayo...
Kilaza ni kilaza tu hata umpeleke wapi
Wanafunzi wamefanya paper mwezi November.
Matokeo ni muhimu sana muda huu. Kwa nin?
Tunataka tuhamasishe watoto wasiende kwenye shule zilizovurunda na tuhamishe watoto wetu wasijuinge kwenye shule hizo.
Hivyo NECTA harakisheni kutoa matokeo ili aibu izikumbe shuke za kibabaishaji zinzopotozea muda wa watoyo wetu wakati zinaishia kefelisha watoto hao.
Hoja yangu tuhamishe watoto toka shule zenye walimu vilaza wadiofaulisha.Huyo ni member muda huku,labda kama ni PC
Hakuna mtu mjinga kama anayetukana mwalimu.Hoja yangu tuhamishe watoto toka shule zenye walimu vilaza wadiofaulisha.
Hakuna mtu mjinga kama anayetukana mwalimu.
Shule Ni hao watoto wako vilaza
Hahaha we jamaaTemeke secondary wakikosa zero Kuanzia 100+ niite Mbwa nimekaa pale