NECTA: Matoke ya form 4 na form 2 yanatoka lini ili shule zilizovurunda zife?

Umalaya wa kuchukuana wanafunzi kwa wanafunzi? au walimu wa kiume na wakike?
Hii ngoma ni bodaboda na KE students plus wao kwa wao kuhusu waalimu nilishihudia wanapigwa mawe na students .


Wakikosa division zero 100 naomba nipewe life ban au mniite Mbwa.
 
Form Two Temeke Secondary results
Div one 10 two 20 three 32 four 329 na zero 94. Umekadiria vizuri.
Mkuu subiri form four ndo utaona mziki wakikosa zero 100+ sijui

Maana hawa watoto wamezidi umalaya
 
Hii ngoma ni bodaboda na KE students plus wao kwa wao kuhusu waalimu nilishihudia wanapigwa mawe na students .


Wakikosa division zero 100 naomba nipewe life ban au mniite Mbwa.
Ustawi wa jamii, uongozi wa shule, serikali nk, wapo wapi? Wakamateni hao Bodaboda.
 
Mwaka 2022 yatajirudia ya 2012.

Kidato cha nne huenda wakatusua zero og na foo matata za 32 zaidi ya robo tatu kwa nchi nzima.

Matoto yanasoma somo la kiswahili tu.
 
Mwaka 2022 yatajirudia ya 2012.

Kidato cha nne huenda wakatusua zero og na foo matata za 32 zaidi ya robo tatu kwa nchi nzima.

Matoto yanasoma somo la kiswahili tu.
Naomba matokeo ya-kitoka Endapo , Temeke wakikosa zero mia 100+ mniite .......nimekaa pale......
 
Pole mzazi naona unatetemeka kwa hasira, kwa kifupi ni kwamba, kufaulu mtihani ni matokeo ya combination nzuri kati ya mtoto kichwan, walimu wazuri na malezi ya mzazi.

Mwalimu anaweza akafusha shule x ikafanya vibaya, huyo huyo mwalimu akaenda shule y watoto wakafanya vzr.!!!

Ipo hivi, ukiona shule watoto wanafany vzr, fuatilia utagundua wanapoingia walifanyiwa screening kupata pure brain, na kabla ya kufanya mtihani wa mwisho still unapita mchujo wa nguvu.
Sasa utafananisha na shule ambayo wanakusanya tu watoto wenye uwezo na wasio na uwezo???

Ndio maana kuna shule za serikali ambazo wanaenda kusoma vipanga mfano kibaha,
Mwalimu anaweza asiingie hata darasani lkn watoto wanapasua hatari.
 
Kutojua hoja iliyopo mezani ni ukilaza kama wa wanafunzi mnaosababisha wafeli.
Mimi sifundishi na Sina kipawa hicho ila siwezi mtusi Wala kumkashifu mwl kisa watoto wangu wamefer

Nawashukuru Sana kwa kujitoa kwao maana bila wao huwenda nisingekuwa hapa
 
NECTA,
Leteni matokeo ya form 4


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…