H hali mbaya Member Joined Jan 7, 2014 Posts 79 Reaction score 22 Apr 27, 2015 #1 Ni mwezi wa pili baada ya matokeo ya kidato cha nne CSEE 2014 kutoka. NECTA wanasubiri nini kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa ili wazazi wajiandae.
Ni mwezi wa pili baada ya matokeo ya kidato cha nne CSEE 2014 kutoka. NECTA wanasubiri nini kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa ili wazazi wajiandae.
Javis Elias Balilemwa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 489 Reaction score 67 Apr 27, 2015 #2 I think mwenzi Wa tano
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,812 Reaction score 1,373 Apr 27, 2015 #3 kijana necta kazi yao walishamaliza cku nyingi wao wanahusika na mitihani tuu. kazi ya kupanga wanafunzi kidato cha tano waulize TAMISEMI na MOEVT jibu ni hadi mwezi wa 7
kijana necta kazi yao walishamaliza cku nyingi wao wanahusika na mitihani tuu. kazi ya kupanga wanafunzi kidato cha tano waulize TAMISEMI na MOEVT jibu ni hadi mwezi wa 7
H hali mbaya Member Joined Jan 7, 2014 Posts 79 Reaction score 22 Apr 28, 2015 Thread starter #4 Wazo la kabwela said: kijana necta kazi yao walishamaliza cku nyingi wao wanahusika na mitihani tuu. kazi ya kupanga wanafunzi kidato cha tano waulize TAMISEMI na MOEVT jibu ni hadi mwezi wa 7 Click to expand... Asante kaka
Wazo la kabwela said: kijana necta kazi yao walishamaliza cku nyingi wao wanahusika na mitihani tuu. kazi ya kupanga wanafunzi kidato cha tano waulize TAMISEMI na MOEVT jibu ni hadi mwezi wa 7 Click to expand... Asante kaka
Jaji Tz Member Joined Feb 16, 2015 Posts 33 Reaction score 19 Apr 28, 2015 #5 jamani leo zinatangazwa
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Apr 28, 2015 #6 necta kazi yake ni mtihani tu mkuu
john watson Senior Member Joined Apr 28, 2015 Posts 152 Reaction score 29 Apr 29, 2015 #7 da! hadi 2 mbwale mtaan