NECTA; Matokeo ya waliochaguliwa na majina ya shule yatatoka lini

NECTA; Matokeo ya waliochaguliwa na majina ya shule yatatoka lini

hali mbaya

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
79
Reaction score
22
Ni mwezi wa pili baada ya matokeo ya kidato cha nne CSEE 2014 kutoka. NECTA wanasubiri nini kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa ili wazazi wajiandae.
 
kijana necta kazi yao walishamaliza cku nyingi wao wanahusika na mitihani tuu. kazi ya kupanga wanafunzi kidato cha tano waulize TAMISEMI na MOEVT

jibu ni hadi mwezi wa 7
 
Back
Top Bottom