Lugazo Aboubakkar
Member
- Dec 9, 2011
- 17
- 0
- Thread starter
-
- #21
Isije kuwa NECTA wamegoma kama Doctors!!!!!!! Mere jokes
Hakuna mwaka ambao matokeo yalitoka kabla ya tarehe 10 February luweni na subira
Necta wana mpango gani na form 4 leavers.
Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.
Wote mmefeli kasoro shule za seminary, mtakomaje mwaka huu! za kata ndo hata div 3 hakuna, ni div 4 na 0.
We bado 2nachakachua kimya!
serekali inaona aibu sana watu wamefeli vya kutosha wananchi watahoji posho zimeongezeka na watoto wetu wamefeli
yakitoka msije mkalia na kuwaacha mademu zenu
Tulieni wadogo zangu yatatoka tu!!!
ewaaaa
Necta wana mpango gani na form 4 leavers.
Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.