Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

serekali inaona aibu sana watu wamefeli vya kutosha wananchi watahoji posho zimeongezeka na watoto wetu wamefeli
 
yakitoka msije mkalia na kuwaacha mademu zenu
 
hapa hadi tunashindwa kujipanga kwa ajili ya ada usijekuta dogo kaaribu..
 
Kuna tetesi nimesikia kuna answer sheet za shule nyingi zimeibiwa.....hii ni tetesi za watu
 
Necta wana mpango gani na form 4 leavers.
Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.

Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa Afisa Elimu wa Manispaa moja hapa Dar, NECTA wameamua kutoa matokeo pamoja na selection. Kwa hyo kila mwanafunzi aliyefaulu atajua na shule aliyopangiwa, hicho ndicho kinasababisha matokeo kuchelewa kutoka.
 
Back
Top Bottom