Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

Joined
Dec 9, 2011
Posts
17
Reaction score
0
Necta wana mpango gani na form 4 leavers.
Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.
 
Tuliza mshono mwana, yatatoka tu..Au umechoka kuchunga mbuzi nini?
 
Hakuna mwaka ambao matokeo yalitoka kabla ya tarehe 10 February luweni na subira
 
Kuweni na subira vijana, form 2 washapata walichokipanda hivyo siku c nyingi mambo yatakuwa wazi,,,
 
nan kakwambia
Nani kaniambia? swali gani hili bwana mdogo? Nimeona miaka yote kwa sababu nilikuwepo, wewe unayesubiri matokeo sas hivi huwezi kujua haya. Siku nyingine jifunze kuuliza vizuri ukitaka kueleweshwa kitu
 
Anyway, suala la matokeo linahitaji umakini mkubwa sana kutokana na idadi ya watahiniwa ambao wanaongezeka siku hadi siku hivyo kuongezeka kazi katika kufanya tathmini ya matokeo kitaifa. Si suala la kusahihisha na kutangaza tu bali kuna michakato mingi kabla ya kutangaza
 
Nani kaniambia? swali gani hili bwana mdogo? Nimeona miaka yote kwa sababu nilikuwepo, wewe unayesubiri matokeo sas hivi huwezi kujua haya. Siku nyingine jifunze kuuliza vizuri ukitaka kueleweshwa kitu

nmekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom