Mkuu kutumia AI siyo ujuzi, AI mfano ChatGpt ni program kama ilivyo JF.Hao wanafunzi waliofutiwa mtihani kwa kutumia AI hata kama wasipofika chuo kikuu tayari wana ujuzu wa kuingia mtaani kutengeneza hela. Wasihofu kutokuja kuajiriwa, watajiajiri wenyewe kwa ujuzu huo wa kutumia AI, soko ni kubwa na pana lina fursa nyingi
Calculator ni another tool , sio smart devices ambazo unaweza run AI modelsKama majibu ni sahihi basi wawape alama zao.
Mbona wanaruhisu calculator!
Kutumia AI haihitaji ujuziHao wanafunzi waliofutiwa mtihani kwa kutumia AI hata kama wasipofika chuo kikuu tayari wana ujuzu wa kuingia mtaani kutengeneza hela. Wasihofu kutokuja kuajiriwa, watajiajiri wenyewe kwa ujuzu huo wa kutumia AI, soko ni kubwa na pana lina fursa nyingi
Mwanangu yupo darasa la 4 lakini anajua kutumia iAHao wanafunzi waliofutiwa mtihani kwa kutumia AI hata kama wasipofika chuo kikuu tayari wana ujuzu wa kuingia mtaani kutengeneza hela. Wasihofu kutokuja kuajiriwa, watajiajiri wenyewe kwa ujuzu huo wa kutumia AI, soko ni kubwa na pana lina fursa nyingi
Siyo kweli,lazima uwe na prompts zinazohitajika ili ikujibu sawia kile unachitaka,vinginevyo ni kweli utaitumia kama google.Mwanangu yupo darasa la 4 lakini anajua kutumia iA
Sio ujuzi Wala fani kama Google tu
Necta wanajitahidi wamenyooka kama mahakama ya Rufani.HAKUNA TAASISI YA HOVYO KM NECTA NA NIDA.MARA NYNG MAJIBU YAO NI MEPESI SANA
Wangesema hivo sio kusema majibu ni AIShida ya sisi wabongi ni kusom akichwa cha habari na kuja na hoja? Uvivu.
Kwenye ripoti ya necta wameeleza kuwawaliokamwtwa walikutwa na simu na ni wanafunzi wa ualimu ambao kikawaida huenda chuo na simu. So waliokamatwa ni walimu tarajali amabao walikutwa na simu na walivyopekuliwa ndo wakakutwa walikuwa wanatumia chatgpt.
Hakuna sehemu wamesema majibu ni AI. Chizi kabisa weweWangesema hivo sio kusema majibu ni AI