NECTA NECTA sio fair kuburuza mitihan ya watoto wetu wa kidato cha nne 2012.

NECTA NECTA sio fair kuburuza mitihan ya watoto wetu wa kidato cha nne 2012.

Ni ngumu kujua kinachoendelea katika marking coz ni siri na haitakiwi kutokewa kwani uliambiwa na nani kuwa wanaburuzwa
 
Ipo siku kuna mtu ataleta 'ndoto' juu yake juu ya Elimu na kuomba watu wajadili.
Tuwe makini na kauli mbiu "the home of great thinkers" na "a place where we dare to talk openly".
 
Hakuna hoja ya kujadili hapa, huu ni upuuzi tu wa kuanza kuilaumu NECTA hata kabla matokeo hayajatoka ili ukifeli upate wapi kwa kutupia failure zako.
 
upuuzi mtupu..jaribu kuchanganua kitu kabla uja ki post kwa wana jamii
 
Habar wakuu!
Kwa habar niliyopata kutoka kwa mmoja wa wasahihishaji ni kwamba huko necta muda huu hasa huu mwezi wa 11 Wa usahihishaji mitihani kuna uzembe mkubwa sana, hasa wanafuzni wa PC ndio kuburuzwa yan mpaka huruma na sijui elimu yetu tunaipeleka wapi yani watu mmekosa utu kabisa!

Umezithibitishaje kuwa ni za ukweli mpaka ukaletea watu wenye muelekeao wa elimu wachangie.
Toa evidence, nasi tutajibu.
 
Habar wakuu!
Kwa habar niliyopata kutoka kwa mmoja wa wasahihishaji ni kwamba huko necta muda huu hasa huu mwezi wa 11 Wa usahihishaji mitihani kuna uzembe mkubwa sana, hasa wanafuzni wa PC ndio kuburuzwa yan mpaka huruma na sijui elimu yetu tunaipeleka wapi yani watu mmekosa utu kabisa!

Nakusamehe bure kwani nimitambua uwezo wako kufikiri ni Mdogo sana
 
Usifikiri marking ni mtu na karatasi! No! Kuna marker, checker, head of panel, usalama wa taifa! Kiapo cha kazi adhabu ni hadi miaka 20. Acha upuuzi. Ndalichako yuko strict sana.
 
Habari za uhakia zilizosambaa hapo awali ni kwamba wanafunzi walilala nusu saa baada ya kupewa mtihani, sijui waliandika nini na saa ngapi.
Naona kuna mtu amejua ya kwamba mtoto mtoto wake amezungusha, sasa anaandaa ushahidi dhidi ya kupindua NECTA.
 
Back
Top Bottom