NECTA , ni kweli utavuna ulichopanda ?

NECTA , ni kweli utavuna ulichopanda ?

beneli

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
86
Reaction score
7
Japo kwa chini chini lakini wote twajua kuwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaosubiri matokeo mioyo na roho zao zipo juu pindi wasikiapo neno 'matokeo'hata kama ni ya mpira, roho huruka.Binafsi nilishapitia hatua hii miaka zaidi ya mitano iliyopita, swala linalonitatiza ni kweli matokeo ya NECTA huwa kweli ndo kilichopandwa ?
Tunawajua watu wengi mitaani kwa mashuleni ,waliokuwa na bidii za dhati katika elimu walioangukia pua , je hawakuwa na juhudi ? Swala la ufaulu kwa ujumla huwa linawaacha hata walimu na vitendawili visivyotegulika vya hata flan ! Na flani !? Nini kiliwakuta ? Tunashukuru Mungu tuliopita huko ,lakini wengi hatukupenda 'mavuno' haba tuliyopata, ila tukasonga mbele.
Ninachojaribu kusema kwa wadogo zangu ni kutoweka matarajio makubwa sana usije ukaghafilika na matokeo..na ushukuru Mungu kwa kile utakachokipata.

Niwatakie Matokeo mema
 
Matokeo ya NECTA kwa sehemu kubwa ni bahati nasibu, yaani kuna madudu mengi hufanyika huko ukiambiwa unaweza ukastaajabu. Wakati mwingine inashauriwa watu kutopenda kutumia majina ya herufi za mwishoni mwishoni kama vile u,v, w, x, y, na z maana wakati mwingine hupitishwa tu mstari hawa wamepita (siyo wamefaulu) na hawa wamefeli kutokana na nafasi chache katika shule zenye vidato vya tano na sita.

Tumuombe Mungu siku 1 tutastaarabika na sisi.
 
Hakika hadi leo huwa siamini kama wanasahihisha maswali yote kwani walinibandikia tu matokeo ya O level ingawa nillifaulu vizuri haikutakiwa kuwa hivyo!Chemistry niliongoza kanda ya ziwa magharibi mtihani wa taifa kidato cha pili,nikaongoza mock kanda nikiwa na A na hadi naingia mtihani wa NECTA nilikuwa fit na niufanya mtihani nikiwa nime relax sana!Ajabu naambiwa eti matokeo nina C!hata kama ningepewa nusu saa kuufanya nisingeishia hiyo C yaani 41-60!kwangu ilikuwa kama failure!Ila basi tu maisha yalisonga

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu pole sana!!

Mshirikishe MUNGU kwa kila jambo.. akili za kibinadamu hazitoshi kufanya mambo makuu na ya ajabu!

huwezi jua labda kweli lipata hiyo C ama ulionewa!
 
Hakika hadi leo huwa siamini kama wanasahihisha maswali yote kwani walinibandikia tu matokeo ya O level ingawa nillifaulu vizuri haikutakiwa kuwa hivyo!Chemistry niliongoza kanda ya ziwa magharibi mtihani wa taifa kidato cha pili,nikaongoza mock kanda nikiwa na A na hadi naingia mtihani wa NECTA nilikuwa fit na niufanya mtihani nikiwa nime relax sana!Ajabu naambiwa eti matokeo nina C!hata kama ningepewa nusu saa kuufanya nisingeishia hiyo C yaani 41-60!kwangu ilikuwa kama failure!Ila basi tu maisha yalisonga

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

.
Kaka mfano mimi
.
Kiswahili cha 2009 kile nilikuwa sio wa kupata B mm
.
Yaani walahi nakuambia mm kiswahili nilikuwa sikipendi yaani sikipendi kama nn kaka
.
Nilidatishwa na upande wa pili science
lakini mim na uhakika ile sio maksi ya faa kwangu...
Kuna jamaa yangu alikuwa anakipiga kiswahili sio kawaida pale Ilboru lakin akapata C
.
Mm sikuelewa elewa na wengi tulishangaa tumefaulu vipi mtihani ule mana ulibana ni balaaa
.
Regard
.
CodeR GodiveR
 
Last edited by a moderator:
mtihani ni siri nzito ya wizara ya elimu

ni siri ya wapanga matokeo wa NECTA,na ni kwamba kwenye usahihishaj kuna underpressuere sana,lakin utata upo kwenye upangaj wa matokeo,japo wanasema kuna transparency wakat wa kutuma matokeo toka vituo vya usahihishaj kwenda necta,maana hutuma online,ila sasa mule necta wakat wa kutunuku ndo kunatia shaka sana,na kama zile pepa zingekua zinarud basi kungekua kunatokea vurugu sana,ila wadau na wanafunz wenyewe nao mjue mazombi,mwanafunz anaandika namba ya sim kwenye booklet ili afaulishwe then anasema atatuma tigo pesa,,,,
 
Japo kwa chini chini lakini wote twajua kuwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaosubiri matokeo mioyo na roho zao zipo juu pindi wasikiapo neno 'matokeo'hata kama ni ya mpira, roho huruka.Binafsi nilishapitia hatua hii miaka zaidi ya mitano iliyopita, swala linalonitatiza ni kweli matokeo ya NECTA huwa kweli ndo kilichopandwa ?
Tunawajua watu wengi mitaani kwa mashuleni ,waliokuwa na bidii za dhati katika elimu walioangukia pua , je hawakuwa na juhudi ? Swala la ufaulu kwa ujumla huwa linawaacha hata walimu na vitendawili visivyotegulika vya hata flan ! Na flani !? Nini kiliwakuta ? Tunashukuru Mungu tuliopita huko ,lakini wengi hatukupenda 'mavuno' haba tuliyopata, ila tukasonga mbele.
Ninachojaribu kusema kwa wadogo zangu ni kutoweka matarajio makubwa sana usije ukaghafilika na matokeo..na ushukuru Mungu kwa kile utakachokipata.

Niwatakie Matokeo mema

word....
 
Mimi binafsi nilikua mzur kwenye geography na zombie kwenye physics, geography nilikua naongoza tangu form 1 hadi 4 ,physics nilikua naongozwa tangu form 1 hadi 4, matokeo yametoka nnkawa nina katumbo ka geography na ka baba ka physics dah..! Nahic mpaka leo kuwa walikosea pale kwenye kuweka matokeo..
 
Mbona kuna mitihani hakufanya mkuu?
mitihan gani mkuu na matokeo yake kwa ujumla yapo je? division ngapi? naomba mnijuze. Saumu abdalah, kisaba sec lushoto tanga.
 
acha uteruuuuu matokeo badoo,, jiangalie unaonekanaa mzembeeeeeeee
 
.
Kaka mfano mimi
.
Kiswahili cha 2009 kile nilikuwa sio wa kupata B mm
.
Yaani walahi nakuambia mm kiswahili nilikuwa sikipendi yaani sikipendi kama nn kaka
.
Nilidatishwa na upande wa pili science
lakini mim na uhakika ile sio maksi ya faa kwangu...
Kuna jamaa yangu alikuwa anakipiga kiswahili sio kawaida pale Ilboru lakin akapata C
.
Mm sikuelewa elewa na wengi tulishangaa tumefaulu vipi mtihani ule mana ulibana ni balaaa
.
Regard
.
CodeR GodiveR

Ulikidharau ndio maana ulifanya vibaya
 
Last edited by a moderator:
Mbona kuna mitihani hakufanya mkuu?
mitihan gani mkuu na matokeo yake kwa ujumla yapo je? division ngapi? naomba mnijuze. Saumu abdalah, kisaba sec lushoto tanga.

.
Tumepatwa na tatizo la kiufundi hatutaweza kukusaidia kwa sasa
.
 
Back
Top Bottom