Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
.
Nashangaa kwann nilipata B
.
Mkuu una uhakika na hicho ulichokisema hapo juu. Angalia jukwaa hili sio pahala pa kupandikiza chuki na maneno ya kubuni. Jukwaaa hili linasomwa na watu wengi kama ilivyo kwa magazeti ni vyema taarifa utakazoweka hapa ziwe ni zile ulizo na uhakika nazo. Habari unazoweza kuzitetea pindi unapotakiwa kufanya hivyo.Matokeo ya NECTA kwa sehemu kubwa ni bahati nasibu, yaani kuna madudu mengi hufanyika huko ukiambiwa unaweza ukastaajabu. Wakati mwingine inashauriwa watu kutopenda kutumia majina ya herufi za mwishoni mwishoni kama vile u,v, w, x, y, na z maana wakati mwingine hupitishwa tu mstari hawa wamepita (siyo wamefaulu) na hawa wamefeli kutokana na nafasi chache katika shule zenye vidato vya tano na sita.
Tumuombe Mungu siku 1 tutastaarabika na sisi.
Hakika hadi leo huwa siamini kama wanasahihisha maswali yote kwani walinibandikia tu matokeo ya O level ingawa nillifaulu vizuri haikutakiwa kuwa hivyo!Chemistry niliongoza kanda ya ziwa magharibi mtihani wa taifa kidato cha pili,nikaongoza mock kanda nikiwa na A na hadi naingia mtihani wa NECTA nilikuwa fit na niufanya mtihani nikiwa nime relax sana!Ajabu naambiwa eti matokeo nina C!hata kama ningepewa nusu saa kuufanya nisingeishia hiyo C yaani 41-60!kwangu ilikuwa kama failure!Ila basi tu maisha yalisonga
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu una uhakika na hicho ulichokisema hapo juu. Angalia jukwaa hili sio pahala pa kupandikiza chuki na maneno ya kubuni. Jukwaaa hili linasomwa na watu wengi kama ilivyo kwa magazeti ni vyema taarifa utakazoweka hapa ziwe ni zile ulizo na uhakika nazo. Habari unazoweza kuzitetea pindi unapotakiwa kufanya hivyo.
Vinginevyo uliza wenzako humu watakuelewesha kwani wapo wanaofahamu watakusaidia.