NECTA , ni kweli utavuna ulichopanda ?

NECTA , ni kweli utavuna ulichopanda ?

Matokeo ya NECTA kwa sehemu kubwa ni bahati nasibu, yaani kuna madudu mengi hufanyika huko ukiambiwa unaweza ukastaajabu. Wakati mwingine inashauriwa watu kutopenda kutumia majina ya herufi za mwishoni mwishoni kama vile u,v, w, x, y, na z maana wakati mwingine hupitishwa tu mstari hawa wamepita (siyo wamefaulu) na hawa wamefeli kutokana na nafasi chache katika shule zenye vidato vya tano na sita.

Tumuombe Mungu siku 1 tutastaarabika na sisi.
Mkuu una uhakika na hicho ulichokisema hapo juu. Angalia jukwaa hili sio pahala pa kupandikiza chuki na maneno ya kubuni. Jukwaaa hili linasomwa na watu wengi kama ilivyo kwa magazeti ni vyema taarifa utakazoweka hapa ziwe ni zile ulizo na uhakika nazo. Habari unazoweza kuzitetea pindi unapotakiwa kufanya hivyo.

Vinginevyo uliza wenzako humu watakuelewesha kwani wapo wanaofahamu watakusaidia.
 
You might had over confidence which a great poison to examinations
Hakika hadi leo huwa siamini kama wanasahihisha maswali yote kwani walinibandikia tu matokeo ya O level ingawa nillifaulu vizuri haikutakiwa kuwa hivyo!Chemistry niliongoza kanda ya ziwa magharibi mtihani wa taifa kidato cha pili,nikaongoza mock kanda nikiwa na A na hadi naingia mtihani wa NECTA nilikuwa fit na niufanya mtihani nikiwa nime relax sana!Ajabu naambiwa eti matokeo nina C!hata kama ningepewa nusu saa kuufanya nisingeishia hiyo C yaani 41-60!kwangu ilikuwa kama failure!Ila basi tu maisha yalisonga

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu una uhakika na hicho ulichokisema hapo juu. Angalia jukwaa hili sio pahala pa kupandikiza chuki na maneno ya kubuni. Jukwaaa hili linasomwa na watu wengi kama ilivyo kwa magazeti ni vyema taarifa utakazoweka hapa ziwe ni zile ulizo na uhakika nazo. Habari unazoweza kuzitetea pindi unapotakiwa kufanya hivyo.

Vinginevyo uliza wenzako humu watakuelewesha kwani wapo wanaofahamu watakusaidia.

Labda wewe ndiyo ueleweshwe unadhani mi naamka tu nakuandika?. Kwani wewe hujawahi kuona intake 2 za form one? kwamba wengine wanachukuliwa januari ile ile na wengine unasikia mwezi aprili ndiyo wanaambiwa wamefaulu wakajiunge kidato cha kwanza?. Pia kama ulikuwa hujuwi mitihani ya huku inatungwa ili watu wengi wafeli na siyo wafaulu kwakuwa vyumba vya madarasa havitoshi.
 
Back
Top Bottom