Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,381
Acheni siasa/porojo za vijiweni
kwenye mambo ya kitaalam
kama elimu, tuachieni
wataalam tujadili na
kurekebisha dosari
zilizosababisha kufeli kwa form
four 2013! Nashangaa
MALUMPENI wamekurupuka
from no where kila mtu na
hoja zake dhaifu za vijiweni
mmesomea wapi ualimu au
mnadhani walimu
wanachaguliwa kwa kufumba
macho na kunyosha mikono
juu!!
dancani huyu jamaa ameikopy iyo post huko anapojua yeye na kaipaste hapa bila kuangalia topic inasemaje..Sijakuelewa mkuu hizo stori za vijiweni au siasa ni zipi kwenye hii thread wakati sisi tunajadili NECTA ilivyokosoa habari za haya magazeti tajwa
kama angekua kaandika yeye isingejibana upande mmoja ie kushoto, hii inatokea endapo mtu unacopy na kupaste..
Last edited by a moderator: