Wadau wa JF nachelea kusema kusema kuwa NECTA wameturudisha kulekule mwaka 2012.Namaanisha kuwa kuna watoto wamepata point zinalofanana lakini wanatofautiana daraja yaani DIVISION Mfano katika shule X kuna wanafunzi 4 wamepata POINT 41 na kuwekewa DIVISION 4 na wanafunzi wengine kadhaa wenye daraja hilohilo lakini wamewekewa DIVISION 0.So what TANZANIA ARE WE MAKING?
WATANZANIA HEBU TUJADILIANE THREAD HII TUPATE KUELEWA.
WATANZANIA HEBU TUJADILIANE THREAD HII TUPATE KUELEWA.
NAOMBA KUWAKILISHA!